JWTZ kwanini hawatangazi ajira kwa graduates?

Wanajaribu kugusa ila hapagusiki. Usichokijua ni usiku wa giza, utamu wa ngoma mpaka uingie uicheze
 
Mkuu, inategemea na chance kupatikana, cha msingi zaidi Level yako ya elimu.
Form six, Diploma, Degree, Masters.
Mkuu mimi ni form 4 then nilipitia jkt muda tangu 2006 huko but kipindi hicho ilikuwa ukimaliza mkataba unarudi home
 
Wanajamii wenzangu inasikitisha sana kuona hadi sasa JWTZ hawajatangaza nafas za magradutes wakati vikosi vyote tayari.

Ukiuliza utaskia wanachukua JKT. Je jeshi halihitaji wasomi au?
Wasomi kibao wapo wanajitolea jkt kwahiyo inakua ngumu kuwakumbuka nyie
 
Mkuu mimi ni form 4 then nilipitia jkt muda tangu 2006 huko but kipindi hicho ilikuwa ukimaliza mkataba unarudi home

Good. Umenifurahisha umekua muwazi...
Story zako nikadhani upo kikosini mpaka sasa...
Nipe cku mbili hivi, Jamaa mwenyewe naemtegemea nilichek nae juzi kasema yupo Msituni Pugu huko, anarudi Jnne
 
Hahaaaa.. kijana nafurahi kutambua kuwa elim yako ni ya kusoma na kuandikaa... hyo mtaani haifui dafu.
Subiri nafas huku zitatoka na utakombolewa na umaskin wa fikra na fedha.
Mimi sio mwenzio dogo....nimemaliza degree ya kwanza miaka mingi sana. I am a professional and a masters degree holder.

Hujui kuandika, nisikukosoe? Vijana sijui mmesomeshwa na walimu gani kama Kiswahili chetu hamjui kukiandika vizuri. Haya kaaa hapo usubiri nafasi za jeshi zikukomboe maana huna unachokiweza.
HUSITUMIE si sahihi.....siku myingine andika USITUMIE

Shubaamit

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu.. mbona sijakataa kukosolewa.. nimekubali kukosolewa... ila kosa langu ni kutambua uwezo wako mzuri wa kusoma na kuandika..
Naona ukaamua kutoa ka CV kako kwa ufupi..
Mbona madarasa uliyopita ni mengi mno.. lakin kilichobaki kichwan ni kidogo?
 
Haya ni maoni yako na una uhiru wa kuyatoa. Hunijui na sikujui....huna hoja umebaki kutoa kile unachodhani ni sahihi. It's okay. Kisa nimekuchallenge kwanini usome miaka 3 chuoni kisha ukakae JKT miaka 2.....a graduate? Ina maana hamna namna nyingine ya kujikomboa mpaka ufanye jeshi your last resort? Tena 2 years?

Naogopa kukuambia go back to schools ulizosoma na claim back your fees....huna kitu wewe fikarani mwako. Ila nyani haoni kundule.

Am off....usijifananishe na mimi. Mi nilishavuka hivyo unavyoviwaza leo.
 
Nisamehe mimi mkuu.
 
Back
Top Bottom