JWTZ kwanini hawatangazi ajira kwa graduates?

Yaani nimesota 3 yrs shule afu niende jkt miaka 2 aaah
Mkuu, kama kweli umesota miaka mitatu unasoma degree... na ukaelewa kwanin umeenda kusoma hiko ulichosoma...
Kwanin husitumie hyo elim yako kutengeneza ela za kutosha...?
 
Ebu achana na kudanganya vijana... ukitoka na gamba lako la form six aliyefaulu vzuri.. ni kama kijana mwenye diploma.. unalamba u "luten usu" nyota moja hyoo
Wewe ndio uache kujidanganya huko, hiyo ilikuwa zamani chini ya 2006
 
Mkuu form six leaver ni ngumu sema diploma & degree napo lazima uhenyeke vya kutosha
Form six leaver nimewashuhudia wengi tuu.. tena ni watu wangu wa karibu,
Unaposema lazima uhenyeke, mi sidhan kama kuna mtu hasiyejua kuwa maisha ya jeshin ni kuenyeka... mwanzon unaenyeka kimwili... baadae unaenyeka kifikra... kwahyo kuenyeka ni kitu cha kawaida mnoo.
 
Wewe ndio uache kujidanganya huko, hiyo ilikuwa zamani chini ya 2006
Umedanganywa kijana... mi namjua dogo kamaliza form six 2014... akabaki jeshin... kakaa mda kidogo akarudi na nyota...
Sijui huyo aliyekulisha upupu wa chin ya 2006 alikuwa na nia gan...
 
Form six leaver nimewashuhudia wengi tuu.. tena ni watu wangu wa karibu,
Unaposema lazima uhenyeke, mi sidhan kama kuna mtu hasiyejua kuwa maisha ya jeshin ni kuenyeka... mwanzon unaenyeka kimwili... baadae unaenyeka kifikra... kwahyo kuenyeka ni kitu cha kawaida mnoo.
Hakuna form six anaechukua nyota jeshini kwasasa, unaingia kama wengine kawaida then bora uwe na diploma au degree ndio unaweza kufanyiwa selection ya kwenda cadet tena hiyo baada ya kupiga recruit course kama wengine
 
Umedanganywa kijana... mi namjua dogo kamaliza form six 2014... akabaki jeshin... kakaa mda kidogo akarudi na nyota...
Sijui huyo aliyekulisha upupu wa chin ya 2006 alikuwa na nia gan...
Nimedanganywa mimi? huyo dogo unasema kakaa muda kidogo? Ok kma muda kidogo, unajua baada ya kuajirowa alijiendeleza vp kielimu? Kadet kaenda mwaka gani baada ya hapo? Usijidanganye wewe!
 
Ni kweli alibakari, kule hata ukiwa na degree.... kupata nyota ni bahati...
Jeshi lina wasomi mno... kiasi kwamba form six sio kituu.
 
Umedanganywa kijana... mi namjua dogo kamaliza form six 2014... akabaki jeshin... kakaa mda kidogo akarudi na nyota...
Sijui huyo aliyekulisha upupu wa chin ya 2006 alikuwa na nia gan...
Na kama ulikuwa hujui form six wengi huwa hawajioneshi kuwa form six bali wanaingia kwa kupitia cheti cha form four, baada ya depo wengi huwa wanasomea certificate hata za short course then hutafuta diploma ndani ya miaka miwili, baada ya hapo ndio hupata nafasi ya kuteuliwa kwenda cadet.
 
Ni kweli alibakari, kule hata ukiwa na degree.... kupata nyota ni bahati...
Jeshi lina wasomi mno... kiasi kwamba form six sio kituu.
Sifa za kwenda cadet, elimu ni kuanzia ngazi ya diploma sio form six.
Then kuna mapendekezo, kuna usaili, baada ua hapo kuna kwenda hiyo cadet yenyewe baada ya hapo hiyo cadet yenyewe muda wowote waweza kuharibu na kufukuzwa, then ukifukuzwa hutakiwi kurudia, then waweza kupiga vile vile ukafukuzwa dakika za mwishoni.
 
Back
Top Bottom