kaka wapo vjana wengi wanaokuwa na uhtaji haxa kubaki xema wanadai hadi jeshi Lowe na uhtaji..tena na hapo mnaambia nenden tutawapigia cm ndo imetoka...mm ni mhanga nalpenda jeshi hadi naumwa...ndo wito wangu ila.....?!!!!Hapo umeeleweka vizuri sana! Ila kama ulipitia JKT tayari na wakati huo hukuhitaji kujiunga na jeshi maana yake ni kuwa jeshi halipo moyoni mwako ila unaona kama sehemu ya ajira tu!