Ile ni mission ya United Nations, UN paid air Tanzanian. Strictly business. Midege ya jwtz ipo kibao.Na mbona wanatumia dreamliner kusafiri? Napiga hesabu Kama ni KDF wanatumia KQ ama Jeshi la Marekani kutumia Delta Airlines...Does JWTZ really have military planes?
Out of topic Kidogo, the new Wazito Fc bus assembled In KenyaView attachment 1108701View attachment 1108702View attachment 1108703
Ndege zenyewe mbovu, Alafu kwani kambi ni ya mabati?Unaziona hzo za jwtz ukishoboka unakeketwa nazo zilirushwa na kujaribiwa 2014 ktk sherehe za muungano tzView attachment 1108677View attachment 1108678View attachment 1108679
Weka hapa Tena kwa karibu tuzikague.Ile ni mission ya United Nations, UN paid air Tanzanian. Strictly business. Midege ya jwtz ipo kibao.
Hapa so ndo pale walikwiba majuisi na biskuti?! Askari unaiba juice na biskuit!! What a shame!Special unit.View attachment 1108665
joto la jiwe wewe jamaa ulinisumbua sana wiki mbili zilizopita eti KDF hakuna jambo zuri lililofanya Somalia. Haya basi tazama hio video halafu unipe ripoti.
Halafu eti wanataka kujifananisha na TZ kwa sababu tu certain blog imesema KDF ni best army!Kaka msomali watamweza wapi wala sukuma week hawa sijui sukuma month
Hapa so ndo pale walikwiba majuisi na biskuti?! Askari unaiba juice na biskuit!! What a shame!
Na pale jamaa walikwiba majuisi na mabiskuti 😀 😀😀ndo wapi?!Hapa ni Dusit2, hawa ndio waliuwa wale terrorists.
Unadhani sisi tunaweza danganya kwamba tunamiliki MD attack helicopter ambayo umesema ni ya 1960 kumbe ni kitu mpya sana na nchi 1st world pia wanazo.Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha
Ndege zenyewe mbovu, Alafu kwani kambi ni ya mabati?
Shida yako ni eti ukipatikana huwezi kubali kushindwa. Kwako ni afadhali useme Kenya wanafanya photoshop kushinda kukubali ukweli. KDF sio mchezo.Vulcan ameweka text ya mwaka 2005, saa hivi kila nchi imesha modernize jeshi lake, Tanzania tulimodernize jeshi letu mwaka 2014, Kenya bado mnatumia vifaa vya kizamani sana. Sema ukweli hizi helicopters zilitengenezwa mwaka gani kama sio 60s?
joto la jiwe wewe jamaa ulinisumbua sana wiki mbili zilizopita eti KDF hakuna jambo zuri lililofanya Somalia. Haya basi tazama hio video halafu unipe ripoti.
Shida yako ni eti ukipatikana huwezi kubali kushindwa. Kwako ni afadhali useme Kenya wanafanya photoshop kushinda kukubali ukweli. KDF sio mchezo.
KDF?, Hahahahaha, hahahahaha, HahahahahaShida yako ni eti ukipatikana huwezi kubali kushindwa. Kwako ni afadhali useme Kenya wanafanya photoshop kushinda kukubali ukweli. KDF sio mchezo.
KDF 20, TPDF 0.[emoji23][emoji23]KDF?, Hahahahaha, hahahahaha, Hahahahaha
KDF?, Hahahahaha, hahahahaha, Hahahahaha