JWTZ ina vikosi vingapi?

Hawa walitumika Kibiti
 
Mbwe mbwembwe ambazo walikuwa wanaonyesha wanawasubiria waingie kwenye kumi na nane za policeccm

Kwani Jwtz na PT hawapatani?

Kama ni hivyo mbona wanashirikiana kwenye operations mbalimbali
 
Yeah hao wanakuwa ni macommando wa special forces. Maana siyo kila commando yuko kwenye special forces.

Na kwenye special forces ndo wanatoka kikosi cha ulinzi wa rais au vipi mkuu?
 
Na kwenye special forces ndo wanatoka kikosi cha ulinzi wa rais au vipi mkuu?
Mmh sina uhakika. Kwa sababu Tanzania hadi sasa hatuna commando mwanamke na mlinzi wa Rais wa sasa ni mwanamke so sidhani kama ni lazima wawe wanatokea special forces.
 
Mmh sina uhakika. Kwa sababu Tanzania hadi sasa hatuna commando mwanamke na mlinzi wa Rais wa sasa ni mwanamke so sidhani kama ni lazima wawe wanatokea special forces.

Upo sahihi mwanzoni nilikuwa najua ili uwe mlinzi wa rais ni lazima uwe umepitia mafunzo ya ukomando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…