Taifa kwanzaDuh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
Bunduki zote hazina Risasi, kabla ya kuja uwanjani TISS wanakagua silaha zote ili kujiridhisha kuwa hazina risasi. Kwenye shughuli kama ile ni wale wanaohusika na ulinzi wa Rais, eneo husika na walipangwa kuwa na silaha ndio huwa na risasi kwenye silaha zao. Wale uliowaona kwenye graride silaha zote ni tupu na zimelaguliwa kabla hawajakabidhiwa. Kwa kifupi wako kwa ajili ya MAONESHO.Jana nimetamani hadi niwe mwanajeshi wale watu wako na vibe nidhamu ya hali juu.
Naomba uliza bunduki zinakua na risasi au hazina.
Mambo ya kuoa sio kipaumbele,piga puli siku imeisha.Duh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
Upo sahihiHizo sio red, ni damu ya mzee ndizo wanavaa landforce cdo's
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
EbooooohView attachment 2039501
Hivi ndugu zangu hawa maafande tunaishi nao uraiani ama wao hukaa kwenye makambi yao kipindi chote cha ajira?
Hawapati mda wa kugegeda partners wao?Commandos always wako kwa kambi na wanakua wanahamishwa hamishwa yani.
wanaruhusiwa kuja kusalimia mkuu ...,Mimi mwenyewe bro wangu commando na anakuja sana na anafamilia yakeDuh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
wanaruhusiwa kuja kusalimia mkuu ...,Mimi mwenyewe bro wangu commando na anakuja sana na anafamilia yake
Hawapati mda wa kugegeda partners wao?
Ngoja waje kukupa muongozo...
Mambo ya kuoa sio kipaumbele,piga puli siku imeisha.
MSF hichi ni kikosi kina miaka kadhaa toka kianzishwe, hakikujulikana na umma zaidi ya kufahamika wale makomandoo wa jeshi la ardhi pekee. Nchi ilikuwa na makomandoo wenye uwezo mkubwa kuliko wale waliyozoeleka na iliwaficha wasijulikane. Hii lilikuwa ni lengo zuri, maana haifai kuonesha kila aina ya watu uliyokuwa nao.
Kikubwa sijapenda hao maafisa waliyofichwa na kutotumika na uongozi uliyopita kwenye maonesho kama haya. Kuja kuanikwa hadharani, si kila makomandoo wa kuanikwa tu. Wangeendelea kufichwa kama mwanzo
Ni MSF nilikosea kuandika yaani MARINE SPECIAL FORCE. hao ni makomandoo wa jeshi la maji wenye uwezo wa kupigana majini na nchi kavuUpo sahihi mkuu lakini hatuwezi jua pengine wapo mahodari hata kuwazidi hao tuliowaona na bado wamefichwa
Ila naomba kujua kirefu cha MFS
Halaf mimi zaman nilikuaga najua eti makomando huwa wana train ulaya il hawa inaonekana wame train hapa locally na wao wanakua tena waalim wa wenzao sasa hawa akina JIDE a.k.a "komando machozi"
Ni MSF nilikosea kuandika yaani MARINE SPECIAL FORCE. hao ni makomandoo wa jeshi la maji wenye uwezo wa kupigana majini na nchi kavu
kingai alaaniwe na kizaz chake makomando wetu wamelia kama watoto mbele ya kingai
Ndio kipo, commando special forces wanafuga ndevu na nywele kama raia. Sio kila commando anaweza kuwa special force isipokuwa huwa wanaselect elite soldiers wachache kutengeneza partnership ya special forces. Mimi nimewaona kwa macho sehemu flan Dar es Salam, hata ngerengere pia ukibahatika kufika utawaona. Issue wanafanya hivyo kuna baadhi ya operation ambazo ni very complex zinataitaji participants wasigundulike kirahisiShukrani ndugu alafu kuna swali niliuliza hapo juu kwamba je kuna kitengo chochote jeshini ambacho kinaruhusu askari wake kufuga ndevu ama nywele?
JWTZ kwa sasa ina Kamandi tano mkuuKwa nnavyoelewa,,,,kikosi kinakua ndani ya kamandi,sabab tanzania tuna kamand 3
Airwing
Navy
Land force
Ndani ya navy ndio tunawapata hao jamaa waliovaa nguo nyeusi wanaitwa marine commando
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app