TANZIA JWTZ: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
BRIGEDIA JENERALI MBENA AFARIKI DUNI
1613483216932.png
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Juma Nkangaa Issa Sipe jana kwa vyombo vya habari ilieleza jana kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, anasikitika kutangaza kifo hicho kilichotokea Februari 13 mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Brigedia Jenerali Mbena aliaga dunia wakati akipata tiba katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam.

“Heshima za mwisho kwa marehemu zitatolewa Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo tarehe 16 Februari, 2021 kuanzia saa 3:00 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo katika makaburi ya Temeke Wailes jijini Dar es Salaam saa 9:00 alasiri. Marehemu ameacha mke na watoto.”ilieleza taarifa hiyo.

Zaidi, soma:

Mkuu Mbona umeandika kwa kejeli na dhihaka. Wapendwa wake wakisoma huu uzi si watazidi kuhuzunika?

Rest in paradise Bregedia.

Tuhurumiane, Tusahamehane na Tuombeane.

Best friend of Jesus!
Kuna sababu iliyomfanya amchukie
 
Rest easy Command ...... Guys we have to leave in the fulest!!!!!..
 
Mkuu Mbona umeandika kwa kejeli na dhihaka. Wapendwa wake wakisoma huu uzi si watazidi kuhuzunika?

Rest in paradise Bregedia.

Tuhurumiane, Tusahamehane na Tuombeane.

Best friend of Jesus!
Mlazimisheni Boss aseme neno. Hii kimya ni janga kwa nchi..
 
Duhh... Wakuu i'm afraid the whole country is contaminated....
Huyu mnyama m'bad yuko kwa hewa,maji,misosi..kila mahali

Si kwa spidi hii..
 
BRIGEDIA JENERALI MBENA AFARIKI DUNI
View attachment 1703747
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Juma Nkangaa Issa Sipe jana kwa vyombo vya habari ilieleza jana kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, anasikitika kutangaza kifo hicho kilichotokea Februari 13 mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Brigedia Jenerali Mbena aliaga dunia wakati akipata tiba katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam.

“Heshima za mwisho kwa marehemu zitatolewa Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo tarehe 16 Februari, 2021 kuanzia saa 3:00 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo katika makaburi ya Temeke Wailes jijini Dar es Salaam saa 9:00 alasiri. Marehemu ameacha mke na watoto.”ilieleza taarifa hiyo.

Zaidi, soma:

Korona haiangalii kwata
Tutaelewana tu
 
Back
Top Bottom