Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Tanzania inaendesha ubalozi wa VATICAN? Ujinga gani unaleta humu jamvini? au umesomea chuo kikuu cha Alshababu nini? Toka lini nchi ikaendesha ubalozi wa nchi nyingine? jamani uma amuma wa mashehe wako unashindwa kutumia hata akili yako? Serikali inasema haina dini, Je Serikali kuendesha taasisi ya dini ITASEMA HAINA DINI? mnapenda vya bure ndio maana mnakuwa walalamishi kwa mambo ya kijinga.

Unafikiri pato la Vatican linatoka wapi? Ile michango ya waumini inaenda wapi? Vatican hawana viwanda, kilimo uzalishaji wake unatoka wapi. Acha kufanya watu wajinga wewe kasome vitabu hivi Opeci Dei na Da Vinci Code ujue Vatican inafanya kazi vp. Pia unapodai eti waislamu wanapenda vya bure nikuulize kati ya waislamu na wakristo nani wanapenda vya bure???? Hebu nifafanulie MOU yenu na serikali ilikuwa sio kupenda vya bure kwa jasho la kutuibia kodi zetu sie waislamu. Pia kila mwaka wa fedha serikali inasign cheki ya billion 600 kuwalipa kanisa kwa huduma ya jamii. Nani anapenda vya bure!!!! Tafadhali usije na mambo yako ya kijinga kama huna hoja ya msingi ya kumjibu bora ukae kimya au iache thread iendelee katika mada husika sio kuleta post za kidini ndugu acha udini huo!!!!!
 
Maskini ndugu yangu, sasa michango ya waumini ndio zimekuwa pesa za serikali? Mie naona kama wivu unakusumbua. Halafu hebu toa source ya taarifa kuwa 600 billon zinalipwa kanisa kwa ajili ya huduma za jamii. Ni hela serikali inadaiwa kwa kutoa huduma kama ilivyo kwa TANESCO, TTCL n.k zinavyoidai serikali au ruzuku kwa kanisa? Kama ni ruzuku kwa kanisa nipe ushaidi nimburuze J.K mahakamani maana huu ni ufisadi wa hatari. Jitahidi usiingize propaganda kwenye agenda za msingi, be careful mkuu.

Watu wanaopinga serikali kuendesha chombo cha kidini( hapa nasema dini yoyote) ndio hawapendi UDINI. Lakini wanoshabikia serikali kujiingiza kwenye kuratibu shughuli za dini hao ndio hatari kwa udini. Mambo hayo yanaweza kuwa uchochoro wa vikundi vya kigaidi kama alshababu, boko haramu, Alqaeda n.k. Vikundi hivi ni kipezi chenu maana sijawahi kusoma popote wala kusikia kauli ya kulaani shughuli zao kutoka viongozi wenu japo zimeupka tope Uislamu, bali tumewashuhudia live na mabango mkitokea misikitini kumuunga mkono Marehemu Osama bin Laden.

Tunakoelekea mtashinikiza safari za Hijja nazo zigharamiwe na serikali maana nayo ni ibada kama wanavyodai wengine eti mahakama ya khadhi ni sehemu ya ibada.

Tanzania bila udini inawezekana na inaanza na wewe. Dini hizi tumerithishwa na mababu zetu tukiwa tungali tumboni. Mababu zetu nao wameletewa na wageni, kwa hiyo hakuna haja ya kufarakana maana inategemea waajemi au wamishenari walitua na kupita eneo gani na wala si ubora wa vitabu vyetu.
 
Reference hii hapo isiwe shida:-

[TABLE="align: left"]
[TR="class: afr_light"]
[TD]Religions:acha upupu wewe..,you might as well go back to madrasa (ujinga)nani kakuambia mahesabu ya madrasa ni ya kweli...!!!!!!.
[/TD]
[TD="align: right"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: CIA
acha upupu wewe..,nani kakuambia elimu ya madrasa ingeweza kukufundisha hesabu au tuseme kukufundisheni ukweli..,ona ulivyo chemsha sasa..,go n ask your shekh yaya to predict the figures again..,
 
35+35+30=100% hakuna aliyechemka labda wewe ila sio mimi!!! Tatizo lenu hamna hoja mnabakia kurudiarudia maswali yale yale nimeacha kuwajibu leteni hoja ya msingi kwanini mnawanyima Waislamu their constitutional right of justice!!!!!! kakaeni na wanasheria wenu kanisani mujibu hilo. Pia kama mmewanyima eti kwasababu serikali haina dini linakuja suala jengine sheria za sasa zinafuata dini gani maana tunavyofahamu sie tuliosoma sheria ni kwamba source ya sheria nyingi Tanzania ni Common Laws and Canon Laws ambazo zimetokea Anglican Church na Catholic Church sasa Sharia Laws mbona hazijumuishwi basi maana kuna Waislamu pia Tanzania? Pia mjibu swali jengine kama serikali haina dini Vatican City (taasisi ya kidini na sio nchi kwa sheria za kimataifa) inafanya nini Tanzania na kwanini serikali ilikubali kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia nayo??? Mkae mfahamu zama za nyerere zimeisha narudia tena sasa zama zengine waislamu ni walipo kodi nchini, majority in population na vile vile wanadai haki yao ya msingi ya kikatiba. Bora muwanyime OIC na si hii Mahakama ya kadhi labda wenyewe waseme hawaitaki ila kama wanaitaka iko siku mtaitoa tu hata kwa shingo upande. Alamsiki !!!!
 
Hata mtu wa darasa la saba atakujibu ngugu mwanasheria.

Kwanza kawaulize waiokuletea dini wao walitumia vigezo gani kuwa na diplomatic relations na Vatican. Mfano.
1.Pakistan
2.Malaysia
3.Kuwait
4.Indonesia
5. Saud arabia, Iran, Turkey

Pili uizia nchi nyingine nyingi duniani zenye uhusiano wa Kibalozi wakati madai yako ni kuwa si Nchi wao wanatumia kigezo gani? Haya mwanasheria hiyo ni assigment please submit before the end of the day.

Tatu. Nawashangaa waislamu kwa hili. Kwani Quran inawaelekeza Mahakama ya kadhi lazima ipitishwe na sheria ya Bunge?
 
Unaona unarudi kule kule tulikotokea mwanzo na tatizo lako hujui unajadili nini zaidi ya kuongeza ukubwa wa thread tu. Kwa kukusaidia kujibu maswali yako hebu soma definition ya sovereign state (nchi kamili) nanukuu:-

"A sovereign state is a state with a defined territory on which it exercises internal and external sovereignty, a permanent population, a government, and the capacity to enter into relations with other sovereign states.[SUP][1][/SUP] It is also normally understood to be a state which is neither dependent on nor subject to any other power or state"

Sasa jiulize nchi gani rais wake ni raia wa Ujerumani na wasaidizi wake raia wa nchi nyengine (Vatican Pope ni mjerumani na cardinals wote ni raia kutoka nchi nyengine).

Pili Vatican haina eneo lake ni kijisehemu kama Dar ndani ya Rome kilichotokana na Lateran Treaty. Vile it is dependent to Italy for military and also other means of productions pamoja na kutoka kwa waumini wake.

Umetolea mfano Pakistan (raia wake pakistan, hawamtegemei mtu infact watutasidia sisi maskini), Malysia hali ni hivyo hivyo, Kuwait pia, Indonesia pia sasa nafikiri wewe ni mtu huna hoja wala hujui unachokijadili I am sorry but you are absolutely ridiculous kasome kwanza kanisani ndipo uje kujadili hapa.

Swali la mwisho umeuliza kwani Quran inasema lazima ipitishwe bungeni nikuulize swali kwanini Common Laws na Canon Laws mlizipitisha bungeni na nyingi mlizichukua kutoka bunge la wakoloni wa uingereza. Muasisi wa Common Laws is King Henry II ndio aliyeanzisha Common Courts na Magna Carta na hiyo iliyotokea from Anglican Church.

Canon Laws zilianzishwa na Petro (Saint Peter) .

Sheria hizi mbili (Canon Laws and Common Laws) zimewezaje kupitishwa bungeni halafu mshindwe kupitisha Sharia Laws???

Hamna hoja nyie mnafikiri waislamu vihiyo basi mmekosea dude. Go back ukasome kwanza ndipo uje kujadili na mie huu mjadala mkuu.
 
Bwana mdondoaji, kwanza unapokuwa chalenged sio tu kwa kuwa ni muislamu, no bali ni kwa kwa kuwa wewe ni member wa JF na umetoa mchango wako, so kudhani kuwa watu wanafikiri nyie ni vihiyo, hiyo ni inferiority complex. Stop that nonsence.

Pili umeulizwa nchi ambazo zina uhusiano wa kibalozi na Vatican zilitumia vigezo gani kuitambua kuwa vatican ni sovereign state. Katika majibu yako sijaona kama umefanya h/w yako au unataka kusema Tanzania pekee ndio ina ubalozi na Vatican? If no then, find out criteria gani ilitumika kwa nchi nyingine, utakuwa umenisaidia sana, otherwise naona tatizo ni zaidi ya Vatican.

Tatu, NAOMBA Ufahamu kuwa hata kama sheria tunazotumia zinachimbuko la BUNGE la uingereza haziwakilishi Dini ya Kikristo hata kidogo. Msingi wa Dini ya kikristo ni Yesu Kristo. Hakuna mahali popote alipoagiza tuwe na mahakama, zaidi anatuambia mtu akikukosea msamehe 70*70.Akikunyang'anya kanzu, mpe na koti pia, akikupiga kofi la kushoto mgeuzie la kulia. Kuna mahakama inayotoa hukumu hizo? Bali tumeagizwa kutii mamlaka halali za Nchi.Kwa hiyo hizo cannon laws na common laws ni za kidunia na haziwakiishi misingi ya Dini ya kikristo

Basi Waislamu wa kweli watapeleka kesi zao kwa mashehe na kukubali ziamriwe na sheria yenu lakini asiyetaka mwache aende mahakama ya kiraia. Shida iko wapi kaka/dada? Ni mishahara au?
 
Crome20,

Kwanza fahamu kuwa ni ukweli usiopingika kwamba fikra miongoni mwenu wengi ni kuwa waislamu ni watu wa madrassa na ndio maana dhihaka na kebehi zimewajaa nitakupa mfano mtu utamsikia unakuwa kama mswahili au mtu wa kariakoo. Mswahili ni mtu wa pwani ambao majority yao ni waislamu if not all of them. Waswahili inajumuisha wandengereko, wazaramu, wabarawa, wapemba, waunguja, wamakonde (baadhi yao). Pia ni watu kariakoo ukweli wao ni kwamba ni waislamu kwani kariakoo majority ya wakaazi wa asili walikuwa waislamu. Hivyo ninavyokuambia hivyo najua kwanini nasema na uthibitisho wa haya soma thread nzima utagundua dharau na kebehi hizo.

Pili bilateral relationship sio sawa na multilateral relationship na nchi zote zilizoanzisha ubalozi wa kidiplomasia na taasisi ya vatican walifanya hivyo kutokana na msukumo wa watu wao. Kuna nchi bado hazina mahusiano na Vatican jiulize kwanini? Vile vile swala la Vatican sio nchi nimelifafanua kwa vizuri zaidi nyuma nakushauri isome thread achana na uvivu wa kusubiri nikutafunie sababu zinazoifanya isiwe nchi.

Tatu tunapogusia Common Law na Canon Law kuna sheria mama zinazodaiwa ni secular laws na sheria akisi zinazoendana na huduma ya kiroho. Hizo unazizungumzia ni sheria akisi zinazoshabihiana na huduma ya kiroho nitakupa mfano wa sheria za kikristo zinazojumuishwa katika kile kinachodaiwa ati sheria za secular mfano sheria ya ndoa mke anayetambulika kiofficial ni mke mmoja. Na hata baadhi ya taasisi za kiserikali safari za kiserikali huwa mke mmoja anayetambuliwa. Hii sheria ni monogamy inayotaka na asili yake ukristo na kitendo cha kupinga polygamy in the relationship. Uislamu unaruhusu polygamy ila mwisho wake wanne. Je nikuulize bwana mkubwa sheria hii huoni inamnyima haki muislamu wa kujinafasi na wake zake anapotaka kuhudhuria shughuli mbalimbali?

Sheria ya mirathi ya Tanzania inayotambuliwa na serikali inaruhusu watoto wote (ndani ya ndoa na nje ya ndoa) wapewe urithi sawa. Kigezo kinachotumika ni kwamba hao watoto wanatambulika kuwa watoto wa marehemu (mzazi wa kiume) asili ya sheria hii ni ukristo. Sheria ya kiislamu inasema hakuna kugawa sawa mirathi bali urithi wa watoto unagaiwa kutokana na gender ya mtoto. Watoto wa kiume wanapata mara mbili ya watoto wa kike. Pia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu kwani hawatambuliwi kisheria. Logic behind this ni kuwa watoto wa kike ni rahisi kuachwa na wanapoachwa mara nyingi hukimbilia kwa ndugu zao wa kiume na hivyo kupewa urithi mkubwa ni kwa sababu ya responsibility waliyonayo dhidi ya dada zao. Isitoshe watoto wa nje ya ndoa ni ngumu sana kufahamika even using DNA na isitoshe mali ya marehemu inaweza kuwa imetafutwa na mke aliyehai pamoja na mme na basi kumgaia mtoto wa nje ya ndoa ni kuwadhulumu watoto walio ndani ya ndoa.

Unapodai waislamu wapeleke kesi zao kwa masheikh kwani unafikiri hawapeleki? Ila nikuulize swali iweje anayeamua kesi mahakamani ambaye ni judge hulipwa mshahara na serikali lakini sheikh anayeamua kesi ile ile ya mirathi kwa wanaotaka hukumu ya kiislamu halipwi mshahara???? Isitoshe hukumu ya sheikh haina mashiko ya kisheria kwasababu inachukuliwa kama upatanishi badala ya kuwa hukumu ya jaji je unafikiri ni sahihi? Kama sio sahihi basi nikuulize iko wapi haki ya muislamu ya kikatiba (constitutional right) ya kupewa huduma ya kisheria na serikali??? Kadhi courts ni mahakama kamili kama mahakama zengine za serikali usifikiri ni ibada ya msikitini. Pia ilikuwapo zamani Nyerere akaja kuitoa kimya kimya unaweza kutuambia sababu za yeye kufanya hivyo???
 
Mdondoaji, Labda nianze na hii Quote yako:
Sheria ya mirathi ya Tanzania inayotambuliwa na serikali inaruhusu watoto wote (ndani ya ndoa na nje ya ndoa) wapewe urithi sawa. Kigezo kinachotumika ni kwamba hao watoto wanatambulika kuwa watoto wa marehemu (mzazi wa kiume) asili ya sheria hii ni ukristo

Unaposema asili ya sheria hii ni ukristo una maana gani? Kwani wakristo wanaruhusu watoto nje ya ndoa? Mkristo anatakiwa awe na mke mmoja na definetelty watoto wa ndani ya ndoa tu. Kama sheria hii ina mapungufu usisingizie wakristo. Dini ya kikristo hairuhusu watoto nje ya ndoa, hata Isack hakurithi pamoja na Ishmael!
Na sasa hii:
Tatu tunapogusia Common Law na Canon Law kuna sheria mama zinazodaiwa ni secular laws na sheria akisi zinazoendana na huduma ya kiroho. Hizo unazizungumzia ni sheria akisi zinazoshabihiana na huduma ya kiroho nitakupa mfano wa sheria za kikristo zinazojumuishwa katika kile kinachodaiwa ati sheria za secular mfano sheria ya ndoa mke anayetambulika kiofficial ni mke mmoja

Ninavyofahamu cheti cha ndoa cha serikali kinatambua ndoa ya wake wengi na kuna 'Provision ya kujaza kama ndoa ni ya wake wengi au mke mmoja. Usichanganye suala hili na zile stahili za mfanyakazi, maana hata watoto wanaostahili huduma za mwajili ni wanne tu, tena ambao hawajazidi 18yrs. AU watoto 4 ni huduma ya kiroho ya wakristo? Hii haimaanishi watoto zaidi ya wanne hawatambuliwi na sheria za Tanzania. La hasha, ni policy za bajeti tu. Yaani unapewa safari ya kikazi ya wiki 3 unende na wake 4? Gharama hizi alipe nani? Wewe chagua yeyote na mwingine zamu ijayo kama mnavyofanya kwenye unyumba.

Na isue ya mwisho ni kwamba kuna makundi ya watu wengi wanashugulika sana kutatua migogoro mbalimabi katika jamii kama ya ardhi, mirathi, ndoa n.k mfano, mabaraza ya ya wazee wa kijiji, watumishi mbalimbali wa kiroho n.k sasa tukisema hawa wote nao walipwe sababu nao wameamua kesi mbalimbali tutakuwa na mfumo gani wa serikali? Naamini mashehe au Wachungaji wanapoamua kesi, hawafanyi hivyo kama sehemu ya ajira bali bali kama sehemu yao ya kumtumikia Mungu

Ndugu,

Kwanza naanza kukujibu watoto wa nje ya ndoa tunakubaliana kwamba sheria ya mirathi ya serikali na sheria ya mirathi ya kiislamu zinatofautiana? Kama ni hivyo basi kwanini sheria ya mirathi ya serikali inatumika kuhukumu waislamu even though mhusika mwenyewe hakupewa ruhusa ya kuchagua. Pili hata anapochagua hakuna wa kuhukumu zaidi ya jalada kupelekwa store mpaka baada ya mashauriano. Wanaotoa ushauri ni masheikh ambao hawalipwi kitu na hivyo hiyo sio huduma ya kiroho bali NI HUDUMA YA KISHERIA!!!!.

Pili tukirudi kwenye huduma za kiroho kama ni hivyo pia wachungaji wanapotoa huduma ya elimu na afya kwanini isiwe ni sehemu yao ya kutumikia mungu. Badala yake wanasubiria cheki ya Billioni 600 walipwe kwa kuisaidia serikali kutoa huduma mbali mbali za jamii. Billioni hizo zinatoka katika jasho langu ambapo mimi muislamu sifaidiki na chembe moja ya the so called huduma ya jamii. Kutoa elimu na afya ni sehemu ya kumtumikia mungu. Au kwa wakristo ni wajibu serikali kutoa pesa kwa waislamu sio wajibu bali ni sehemu ya ruzuku.

Tatu umezungumzia kuhusu cheti cha ndoa kaisome sheria ya ndoa ya mwaka 1970 inasema hivi nanukuu :-
Section 10 par 2 ,
A marriage contracted in Tanganyika, whether contracted
before or after the commencement of this Act, shall-

(a) if contracted in Islamic form or according to rites recognized by
customary law in Tanganyika, be presumed, unless the contrary is
proved, to be polygamous or potentially polygamous; and

(b) in any other case, be presumed to be monogamous, unless the
contrary is proved.

Why should the law assume my marriage is monogamous while I am a muslim irrespective whether I have declare it in marriage or not na kama tumeoana kiserikali. (what is the right of justice to a muslim who is a Tanganyikan). Huu ni ukristo kulazimishana ndoa isiyonihusu. Pili why is Islamic Laws are grouped together with customary laws while Christianity laws are incorporated in a secular Laws???

Pia ndani ya Marriage Act of 1970 wanasema hivi nanukuu:-

32. It shall be the duty kadhis and registration (a) of every kadhi or registration officer to whom notice has been
officers given that a marriage is intended to be contracted in Islamic form; and to attend marriages

(b) of every registration officer to whom notice has been given that
a marriage is intended to be contracted according to rites
recognized by customary law,
so far as is reasonably practicable, to attend that marriage.

33.-(1) When a marriage has been contracted in the presence of
a district registrar or kadhi or celebrated by a minister of religion, the
Issue of
marriage
certificate or
transmission
of
statement of
particulars
district registrar, kadhi or minister, as the case may be, shall forthwith
complete in duplicate a marriage certificate in the prescribed form
and sign the same and cause it to be signed by the parties and by two
witnesses to the marriage and shall hand one part to the parties and
retain the other.
(2) When a marriage has been contracted in the presence of a
registration officer, he shall forthwith complete a statement of particulars
relating to the marriage in the prescribed form and shall sign the same
and cause it to be signed by the parties and by two witnesses and
shall send the same to the district registrar, if the marriage was contracted
according to rites recognized by customary law, or to the kadhi, if the
marriage was contracted in Islamic form.

Section 32, 33 inaonyesha kuna registration officer na kadhi (whom kwa mujibu islamic sharia hayupo anakuwa replaced na sheikh wa mtaani). Registration officer wa ndoa analipwa mshahara na serikali ila sheikh wa mtaani hiyo ni huduma ya kijamii hebu nifafanulie haki iko wapi?

Pia ukiendelea ndani ya marriage act hiyo hiyo Divorce section 99 inasema hivi nanukuu:-
"99. Subject to the provisions of sections 77, 100 and 101, any
petition for
separation or married person may petition the court for a decree of separation or
divorce on the ground that his or her marriage has broken down.

but no decree of divorce shall be granted unless the court is satisfied
that the breakdown is irreparable."

Nikuulize court gani itaamua kesi ya marriage ya muislamu??? Islamic laws zinasemaje kuhusu separation of marriages, reconciliation, dispute. Wanandoa wakienda mahakamani wanahudumiwa na mahakama kuhusu ndoa zao je nikuulize waislamu sio walipa kodi nchi hii na kama ni walipa kodi basi kwanini watu wanaoshughulikia ndoa zao, mirathi na HUDUMA ZENGINEZO ZA KIJAMII (kama wanavyodai maaskofu) wasilipwe??? Namalizia na speech aliitoa JK alipokuwa akifungua usharika mmoja Mwanza huko alisema hivi namnukuu:-
"Serikali itaendelea kutoa ruzuku kwa hospitali na zahanati za Kanisa lenu ambazo tuna Mkataba wa Huduma (Service Agreement)"

Swali ni Kanisa linataka nini ruzuku from the Government wakati ni sehemu ya huduma yao ya kiroho??? Kama ni kwasababu wanaisaidia serikali kutoa huduma katika jamii basi Mahakama ya kadhi nayo itagharamiwa na serikali kwasababu kodi yangu wanayoichukua kila mwezi,kodi ya muislamu mwengine au akina Bakhressa, Manji na wengineo ziende kuhudumia huduma ya kisheria kwa waislamu huu si udini mkuu ni haki ya msingi ya waislamu nchini Tanzania as simple as that. Mahakama ya kadhi inatoa huduma ya kisheria kwa wananchi hivyo wanahitaji kodi zetu waislamu.
 
Mheshimiwa,

Kuna Rais mtaafu alitoa majengo ya serikali ili yaanzishe Chuo kikuu cha dini fulani. Nikumbeshe walipewa kina nani vile na RAIS alikuwa nani? Thamani ya majego hayo ni ipi mkuu.

Mimi sio mwanasheria lakini usije ukadhani umeitafsiri sheria kwa usahiihikabisa. Maana sheria ina tafsiri nyingi but, Mahakama za kiraia zipo kwa wale tu walioshindwana kwenye dini zao! Tusikimbilie mahakama za kiraia jamani.
 
Mdondoaji said:

Mdondoaji,

..ndiyo maana mimi nilikushauri kwamba Waislamu waanzishe Mahakama ya Kadhi wao wenyewe. Sasa kama watahitaji msaada kuiendesha basi serikali itumie utaratibu wa MOU kuwasaidia kuendesha mahakama hizo.

..mahakama ya Kadhi ikitumbukizwa ktk sheria za Jamhuri basi hata wasiokuwa Waislamu watakuwa na haki na mamlaka ya kuingilia utendaji wake wa kila siku. hata uteuzi wa Kadhi Mkuu utakuwa chini ya Jamhuri. Mamlaka ya nidhamu ya watendaji hao pia itakuwa inatokana na Jamhuri.

..Nakuomba urejee mtafaruku uliotokea Zanzibar ambapo Sheria ya kuanzishwa kwa mahakama ya Kadhi ilipitishwa na Baraza la Wawakilishi. Sheria ilielekeza kwamba Kadhi Mkuu atateuliwa na Raisi wa SMZ kutokana na mapendekezo ya Waziri wa Sheria na Utawala Bora. Utekelezaji wa sheria hiyo iliingia matatizoni baada ya kugundulika kwamba Adam Mwakanjuki[Mkristo] ndiye atakayempendekeza jina la Kadhi Mkuu kwa Raisi wa SMZ.

NB:

..Waislamu nao wana haki ya kuanzisha hospitali na zahanati etc halafu wakawa na ushirikiano[MOU] na serikali ktk kuendesha taasisi hizo.

..Hata walipopewa majengo ya Tanesco kuanzisha Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro nina hakika kulikuwa na mkataba[MOU] wa aina fulani ktk makabidhiano hayo. Sidhani kama Waislamu walipewa majengo yale bila maandishi[MOU] yoyote yale. I am not sute, lakini inawezekana serikali ilielekeza majengo hayo yatumike kutoa elimu ya ngazi ya chuo kikuu na siyo sekondari, etc etc.
 
Mie sipingi zisiwepo mahakama za kiraia ila kuwepo mahakama za kiraia kusifute mahakama ya kadhi. Kuna mambo ya msingi mahakama ya kadhi inayatimiza mahakama ya kiraia haiwezi kutimiza. Ninachopendekeza kuwepo na parallel legal system mahakama za kiraia na mahakama ya kadhi. Naomba unielewe ndugu yangu. System hiyo iko Kenya, Turkey, Zanzibar, Nigeria na kwengineko na Tanzania ilikuwapo kabla ya uhuru ilipokuja baada ya uhuru ikafutwa kwa vigezo visivyojulikana.
 
Joka Kuu,

Ndugu yangu nakuelewa sana na nitakubaliana na wazo lako ukiweza kunijibu je nguvu ya sheria za mahakama ya kadhi zitatoka wapi? Kuhusu uendeshaji hao waliozua mtafaruku sidhani kama wanaifahamu vizuri mahakama ya kadhi. Kinachotakiwa katika mahakama ya kadhi ni vitu viwili hakimu (mwenye elimu ya sheria za kiislamu) na muislamu basi!!!! Kuhusu nani amemteua au ameteuliwa na mkristo nadhani huo ni unazi (fundamentalism). Ili kuepusha hilo kwanini kusikuwapo na baraza la maulamaa wao ndio wanamchagua, waziri wa sheria (whether awe mkristo au muislamu ) anampitisha kama kuna umuhimu sana , halafu Rais (muislamu au mkristo) anamteua kuna ugumu gani???
 
Unaona unarudi kule kule tulikotokea mwanzo na tatizo lako hujui unajadili nini zaidi ya kuongeza ukubwa wa thread tu. Kwa kukusaidia kujibu maswali yako hebu soma definition ya sovereign state (nchi kamili) nanukuu:-

"A sovereign state is a state with a defined territory on which it exercises internal and external sovereignty, a permanent population, a government, and the capacity to enter into relations with other sovereign states.[SUP][1][/SUP] It is also normally understood to be a state which is neither dependent on nor subject to any other power or state"

Sasa jiulize nchi gani rais wake ni raia wa Ujerumani na wasaidizi wake raia wa nchi nyengine (Vatican Pope ni mjerumani na cardinals wote ni raia kutoka nchi nyengine).

Pili Vatican haina eneo lake ni kijisehemu kama Dar ndani ya Rome kilichotokana na Lateran Treaty. Vile it is dependent to Italy for military and also other means of productions pamoja na kutoka kwa waumini wake.

Umetolea mfano Pakistan (raia wake pakistan, hawamtegemei mtu infact watutasidia sisi maskini), Malysia hali ni hivyo hivyo, Kuwait pia, Indonesia pia sasa nafikiri wewe ni mtu huna hoja wala hujui unachokijadili I am sorry but you are absolutely ridiculous kasome kwanza kanisani ndipo uje kujadili hapa.

Swali la mwisho umeuliza kwani Quran inasema lazima ipitishwe bungeni nikuulize swali kwanini Common Laws na Canon Laws mlizipitisha bungeni na nyingi mlizichukua kutoka bunge la wakoloni wa uingereza. Muasisi wa Common Laws is King Henry II ndio aliyeanzisha Common Courts na Magna Carta na hiyo iliyotokea from Anglican Church.

Canon Laws zilianzishwa na Petro (Saint Peter) .

Sheria hizi mbili (Canon Laws and Common Laws) zimewezaje kupitishwa bungeni halafu mshindwe kupitisha Sharia Laws???

Hamna hoja nyie mnafikiri waislamu vihiyo basi mmekosea dude. Go back ukasome kwanza ndipo uje kujadili na mie huu mjadala mkuu.

Kwa hili la "common law na canon law" msingi wake ni kwamba tulitawalaiwa na nchi za magharibi na kujikuta tumerithishwa mfumo wao wa sheria na hatukurithiswa mfumo wa sheria wa nchi za Kiislamu - not our choice but a historical condition. Sasa kuanza kuchanganya sheria za kuua watu kwa kuwapiga mawe na kuwakata mikono ndiyo kutaka nini? Hata kama sheria zetu source yake ni 'common law na canon law' zimefanyiwa adptations nyingi sana na siyo kweli kwamba kuna kifungu chochote cha canon law, mfano, kinachoendana na sheria yoyote ya Tanzania na vilevile sijawahi kuona sheria zetu zina'quote' canon law kama precedence. precedence
 
Mheshimiwa,

Mie sipingi zisiwepo mahakama za kiraia ila kuwepo mahakama za kiraia kusifute mahakama ya kadhi. Kuna mambo ya msingi mahakama ya kadhi inayatimiza mahakama ya kiraia haiwezi kutimiza. Ninachopendekeza kuwepo na parallel legal system mahakama za kiraia na mahakama ya kadhi. Naomba unielewe ndugu yangu. System hiyo iko Kenya, Turkey, Zanzibar, Nigeria na kwengineko na Tanzania ilikuwapo kabla ya uhuru ilipokuja baada ya uhuru ikafutwa kwa vigezo visivyojulikana.

Mimi nadhani madai haya ya kutaka Mahakama ya Kadhi iwekwe kwenye Katiba yana ajenda yake... Nahisi serikali ikishakubali kuchukua hilo jukumu kuna mambo mengine mengi yatadaiwa vilevile. Huwa nasikia machakato wa 'Islamisation of Africa' kwa udi na uvumbi!
 
Joka Kuu,

Ndugu yangu nakuelewa sana na nitakubaliana na wazo lako ukiweza kunijibu je nguvu ya sheria za mahakama ya kadhi zitatoka wapi? Kuhusu uendeshaji hao waliozua mtafaruku sidhani kama wanaifahamu vizuri mahakama ya kadhi. Kinachotakiwa katika mahakama ya kadhi ni vitu viwili hakimu (mwenye elimu ya sheria za kiislamu) na muislamu basi!!!!

Sasa kama ulivyosema, basi mahakama ya kadhi, IPO! maana muislamu yupo, na mwenye elimu ya sheria hiyo ( hakimu yupo) sasa shida ni nini? Kwani serikali inaweza kuhoji kwa nini shauri ambalo si jinai mmelimaliza wenyewe kwa kadhi? Si ni ninyi wenyewe mnaopeleka appeal mahakama za kiraia.
 
Mdondoaji,<br />
<br />
..Tanzania tuna mahusiano ya moja kwa moja na wanachama mbalimbali wa OIC kama Oman,Malaysia,Saudia Arabia, Iran, etc etc.<br />
<br />
..hizo &quot;favourable investment terms&quot; unazozizungumzia haziwezi kupatikana kupitia bilateral relationships ni lazima tujiunge na OIC?<br />
<br />
..pia napenda kujua kama nchi za Kiafrika wanachama wa OIC kama Uganda,Mozambique, etc, zinatuzidi ktk kupokea investments na misaada toka nchi wanachama wa OIC na mashirika kama Saudi Fund, Kuwait Fund, etc. <br />
<br />
..nakuunga mkono hapo uliposema &quot; we need to play our cards right &quot;. hilo ndilo tatizo letu kubwa ninaloliona, and if we dont fix that tunaweza kuingia huko OIC halafu tukakaribisha IPTL na DOWANS wengi zaidi.
<br />
<br />
OIC sio suluhsho la matatzo yetu, mbna SOMALIA ipo OIC lkn hali yake ndo vile tena ohe hae?
 
Hili swala membe ameshasema hadi 2012-so waislamu mnatakiwa kuwa na subira-japokuwa uwepo wake humu nchini itakuwa ni ngumu-kama nchi nyingine wamejiunga na oic-hiyo sio sababu ya tz kujiunga na oic-kila nchi ina uamuzi wake wa kupeleka mambo yake vile inavyopenda bila kuangalia nchi nyingine zimefanyaje/zinafanyaje
 
Joka Kuu,

Ndugu yangu nakuelewa sana na nitakubaliana na wazo lako ukiweza kunijibu je nguvu ya sheria za mahakama ya kadhi zitatoka wapi? Kuhusu uendeshaji hao waliozua mtafaruku sidhani kama wanaifahamu vizuri mahakama ya kadhi. Kinachotakiwa katika mahakama ya kadhi ni vitu viwili hakimu (mwenye elimu ya sheria za kiislamu) na muislamu basi!!!!

Sasa kama ulivyosema, basi mahakama ya kadhi, IPO! maana muislamu yupo, na mwenye elimu ya sheria hiyo ( hakimu yupo) sasa shida ni nini? Kwani serikali inaweza kuhoji kwa nini shauri ambalo si jinai mmelimaliza wenyewe kwa kadhi? Si ni ninyi wenyewe mnaopeleka appeal mahakama za kiraia.

Crome20,

Naona hutaki kunielewa nimekueleza vitu viwili vinatakiwa kuwepo kwanza hakimu na muislamu. Hakimu sio hakimu unayemjua wewe Omar au Shaaban bali Judge aliyechini ya kadhi court. Judge huyo awe msomi wa sharia laws na nchini kwetu wapo waliosoma hizo sharia laws wamebakia kufundisha vyuoni na madarasani (misikitini) taaluma zao hawazitumii kunakostahiki. Pili awe muislamu.

Unaponiambia basi mahakama ya kadhi ipo sikuelewi au sijui nichukulie ni dharau au kebehi kwasababu hakimu hawezi kuitwa hakimu bila ya kuapishwa na mahakama husika anabakia kuwa ni mwanasheria tu. Mahakama husika ya kumuapisha huyo mwanasheria haipo kwamaana haiexist kwasababu mahakama ya kadhi imefutwa. Sasa utasemaje ipo huoni hizo ni kebehi za dharau? Isitoshe mahakama ya kadhi kama nilivyosema mwanzo kukiwepo na parallel legal system itapewa mamlaka husika makosa mengine yanaenda katika mahakama za kawaida. Ushasikia kesi ya jinai Kenya inapelekwa katika mahakama ya kadhi????
 
Back
Top Bottom