Justin Nyari ameanza mbio za kumrithi Lema Arusha

Justin Nyari ameanza mbio za kumrithi Lema Arusha

Tatizo sio mtu, tatizo chama. Kugombea kupitia magamba haina tofauti na kujipaka kinyesi, watu watakimbia tu.
 
Huyu si ndio yule aliyefungwa kwa ujambazi?kweli MAGAMBA yameishiwa yani yanataka kusimamisha JAMBAZI lakini sina hofu na machalii.


wacha jambazi wa zamani aka pambane na jambazi mwenzake wa zamani . ngoma droo .
 
wanaARUSHA tunamfahamu justin nyari, tulikuwa tunakesha. Acha wasiomjua wamlete.
 
Wanabodi.

Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo.

Kwa sasa anasubiri rufaa ya Lema...ameona ni bora kuanza sasa kuonesha nia ya kugombea ili mchakato ukifika iwe rahisi kupiga kampeni.

CCM Arusha wanasema safari hii lazima waweke mtu makini mwenye ushawishi.

awo watapeana dili za magari aina shida,namaanisha lema na nyari aka wazee wa kazi.
 
Huyu si ndio yule aliyefungwa kwa ujambazi?kweli MAGAMBA yameishiwa yani yanataka kusimamisha JAMBAZI lakini sina hofu na machalii.
Mungu wangu, huyu Nyari si alikuwa amefungwa wakati wa Mkapa kwa scandal mbaya ya ujambazi wa madini. si huyu huyu Nyari amabye wakati wa kesi ya huo ujambazi dereva wake alikiri mahakamani kuwa aliacha kazi kwake baada ya kumwona Nyari akirudi na mikono iliyojaa damu na gari likiwa limetapakaa madamu akapewa akalioshe! Na huyo dereva alikiri kuwa watu waliokuwa wamekuja kudai fedha zao za madini kwa justin alioondoka nao ndani ya lile gari hawakuonekana tena??? Mungu wangu ni Lowassa alimtoa baada ya kupata uwaziri mkuu???? Jamani nchi hii imefikia kiama!!
 
Wakuu mnataka kutuambia kwamba Arusha ni mji wa majambazi? Manake Lema naye alishasemwa kuwa ni jambazi na huyu Nyari naye ni jambazi!

Bora wapambane hao hao wanatuhumiwa kwa ujambazi.
Huko hawaitwi majambazi, ni "wajanja"
 
...gari hiyo ya Bwana Nyari ilikutwa na matone ya damu ya binadamu, baada ya watu hao kuuawa, na mtu anayedaiwa kufanya tendo hilo anadaiwa kuwa ni Justin Nyari!(Ni maneno yaliyotawala Arusha mwaka 2006/2007) ambapo anadaiwa kuwaua watu waliomuuzia dhahabu, ili kurudisha hela aliyotoka kuwapa!..huh!

Mbona ccm mnataka kututia majaribuni wanaArusha, tumewakosea nini?
Mnajaribu kumleta Nyari?...hakuna watu wa Intelijensia kwenye chama chenu wawacheze na kuwakataza?
Acheni hizo ccm bana, mtatulaumu wapinzani bure!
 
Wanabodi.

Habari kutoka Arusha zimemtaja mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite, Justin Nyari ambaye ni Diwani wa Kata ya Marerani ametajwa kuanza mikakati kuwania jimbo hilo.

Kwa sasa anasubiri rufaa ya Lema...ameona ni bora kuanza sasa kuonesha nia ya kugombea ili mchakato ukifika iwe rahisi kupiga kampeni.

CCM Arusha wanasema safari hii lazima waweke mtu makini mwenye ushawishi.

Mkuu mbona cjakuelewa ameonyesha nia kwakupitia chama gani?
 
Najuwa ccm watamweka Nyari kwasababu kama anaogopeka kiaina hapo "R"

Ngoja tusubiri.
 
Ngoja watu wamlie tuhela huto twa kifisafidi
 
Huyu si ndio yule aliyefungwa kwa ujambazi?kweli MAGAMBA yameishiwa yani yanataka kusimamisha JAMBAZI lakini sina hofu na machalii.

Unashangaa nini hapo kwani magamba wenyewe si ni majambazi hao hao!!?
 
Mtamtaja kila mtu lakini mjue kabisa CDM hatupigi kampeni tutasubiri tu kupiga kura.

A town Opportunity nyingine ya kuwaumiza CCM na Magamba yake hiyo... Principle ni moja tu wakitoa hela chukua lakini kura lazima zilindwe maana katika hali ya kwaida CCM wanashinda kwa kuiba kura tangu 1995.

Walipomwibia mrema
 
Ninavyowajua vijana wa Arusha wanavyopenda (mawe)Tanzanite unaweza kusikia wote wamemkimbia Lema.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ... hoja za ritz wakati mwingine zinachekesha. Nitakukumbusha ile ya kwamba Nassari hawezi kushinda kwa sababu ni mtoto eti hajaoa na hawezi kushiriki vikao vya watu wazima.

Thomas Mollel a.k.a "Askofu" na Justin Nyari walisaidia sana kupiga kempeni kwa ajili ya Sioi, je, matokeo ya Kata ya Mbuguni yalikuwaje?

Vijana wanapenda mawe kama wana access nayo, sasa kama mawe yanamilikiwa na Nyari, akichaguliwa kuwa Mbunge ndo atawagawia mawe? Wapeni maeneo ya kuchimba mawe muone kama hawatawapa kura. Kila siku ni kuwafukuza tu, kisa kuna wawekezaji kutoka nje wamekuja kuchimba halafu wanatuachia mashimo.
 
Mbona wadau mnatokwa povu kwa taarifa ambayo haina chembe ya possibility. Kwanza rufaa ndo bado hata haijaanzwa sikilizwa then mnafikria nomination ya candidates! Mnanipa wasiwasi mzito kwenye hilo jina la GREAT THINKERS ambalo huwa tunaitana humu.
 
Kwani hujui kuwa CCM ni chama cha majambazi? Fuatilia historia ya wabunge wengi wa CCM na utagundua kuwa wengi wao wana harufu ya ujambazi na ufisidi

Mfano naibu waziri kukutwa na SMG na hakuna lolote alilowajibishwa nalo,ccm endeleeni tu kupiga sarakasi huku mmevaa taulo.
 
Back
Top Bottom