Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,354
- 101,099
Akisoma maamuzi ya rufani hiyo yaliyochukuwa saa matatu na nusu, kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 9:35, Jaji Othaman Chande wa mahakama hiyo, alisema amekubaliana na hoja za mawakili wa Nyari, Loom Ojare na Medium Mwale kuwa Nyari alikuwa hana hatia.
Kazi kwako.
hahahahahahaha...hao mawakili....nasikia mmoja ana kesi na mwingine anamtetea mwenzake