Hizo party sikuwepo kama ambavyo wewe unayepinga hukuwepo. Na nimekwambia ndio chanzo cha hizi habari za mtaani maana officially hakuna mashtaka yoyote yalifunguliwa juu ya diddy kumfanyia chochote Justin, lakini mitaa inaongea kwamba alifanyiwa.Napingana Naye sababu hamna vitu ulivyoelezea sehemu yeyote ndio maana nikakuuliza ulikuepo kwenye hizo party za Diddy ambazo Bieber alikua anahudhuria maana umesema mara Kwa mara inamaana hua unakuwepo eneo la tukio