Justin Bieber dogo anasubiribkifo tu naona kama kadata

Justin Bieber dogo anasubiribkifo tu naona kama kadata

Justin alitambulishwa na usher kwa diddy, na wakawa wanangout wakati huo alikuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 13 hivi.
Sasa kuna uwezekano hakuwahi kumfanya chochote lakini hayo ni mastory ya mtaa
Kwahiyo Diddy ndio kamtambulisha Justin Bieber kwenye mziki
 
Nimesema kuwa usher alimtambulisha justin kwa didy yani alimu-introduce justin kwa didy na wakawa wanahangout... hope umeelewa.
Kwahi ukitambulishwa Kwa shoga na wewe unakua shoga si ndio
 
Ananiuma huyu dogo jamani kama ndugu yangu..
Hivi mnajua umaarufu ni mzigo...
 
Kwahi ukitambulishwa Kwa shoga na wewe unakua shoga si ndio
umeelewa lakini mbona unasoma halafu huelewi... Hapo nimemalizia kwa kuwakmbia baada yahapo justin na diddy wakawa wanahangout sana na justin alikuwa akihudhuria party za diddy. Hicho ndicho chanzo cha haya maneno yote ukizingatia justin wakati huo alikuwa minor
 
We uliwaona wakihangout mara Kwa mara na kwenye hizo party wewe uliingia ukamuona huyo dogo
 
Kwani wewe unayepingana naye ulikuwepo kujua kuwa yanayosemwa si ya kweli?
Napingana Naye sababu hamna vitu ulivyoelezea sehemu yeyote ndio maana nikakuuliza ulikuepo kwenye hizo party za Diddy ambazo Bieber alikua anahudhuria maana umesema mara Kwa mara inamaana hua unakuwepo eneo la tukio
 
Back
Top Bottom