Justin Bieber dogo anasubiribkifo tu naona kama kadata

Justin Bieber dogo anasubiribkifo tu naona kama kadata

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,696
Huyu dogo alikuwa bonge Moja la msanii ila Sasa hivi naona madawa yashampeleka puta naona anasubiri kifo tu sababu hata ngoma mpya hamna kashazeeka na madawa kipi. Kipo nyuma Kwa huyu dogo mwenye sauti ya kipekee kwenye muziki.

Screenshot_20250326-172100.jpg
 
Hivi kuna mtu ambaye hasubiri kifo......! Pamoja kwamba dogo anaumwa lakini walio wazima hakuna mwenye kuijua kesho.

Kikubwa ni kuombeana mwisho mwema iwe Leo, kesho au miaka kadhaa mbele lakini hapa Dunia si makazi yetu.
 
Najitolea kukusanya michango ya kumpeleka Justin Bieber Sober house, kwa mwenye chochote aje Pm nimpe namba ya mchango kutoa ni moyo utabarikiwa na kupata kikubwa zaidi kwa kile utakachotoa

Bwana awabariki sana Ameen.
 
Back
Top Bottom