Kwanini wadhani ni propaganda?Hiyo ya Diddy ni propaganda tu
Story za diddy hazikuanza leo na si yeye tu mastar wengi zamani walikuwa wanaishi kama mbwa na matendo yao tanarudi kuwatafuna.
Hata usher raymond wanadai alipokabidhiwa kwake aliipata pata.
Mwingine wanayedai alikuwa mharibifu ni jermaine dupri hasa kwa wale vijana wa kriss kross