nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 72
Hebnu tufikie hatua ya Uganda. Uganda, bila digrii moja basi huna sifa ya kuwa Mbunge. Kenya sifahamu lakini hapa kwetu, Kujua kusoma na kuandika kiswahili. Hapo kwenye EAC tutafanya lolote la maana?
Nkamia ni kilaza la kufa mtu..alinitwanga shikamoo wakati anauwezo wa kunizaa ..
Hebnu tufikie hatua ya Uganda. Uganda, bila digrii moja basi huna sifa ya kuwa Mbunge. Kenya sifahamu lakini hapa kwetu, Kujua kusoma na kuandika kiswahili. Hapo kwenye EAC tutafanya lolote la maana?
Mtazamo, nadhani BBC walimteua Juma Nkamia kwa sababu ni mtangazaji wa RTD baadae TBC, ana good exposure, amefanya kazi BBC London na Voice of America. Ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza tatizo lake ni hana points hivyo Zitto kutawala mjadala.Nkamia amepewa ubunge! Ni wakawaida mno kiupeo wa kufikiri! next tym BBC watafute mtu mwenye uwezo zaidi! Mjadala haukunoga maana ulitegemea hoja za zitto! Nkamia ni Maandazi kabisaaaa!
Mh zitto amesema amemwandikia spika ann makinda kuwa hataendelea kutochukua posho ya vikao ,atabaki na mshahara ambao ni millioni saba kwa mwezi .amesema nafsi inamuuma kuona masking Havana kitu.pia ameelezea malipo kwa ajili ya jimbo shillingi 46m na wabunge wasijitete kuwa posho hizo night ajili ya wapiga kura wao
Juma Nkamia, Joseph Mbilinyi, Goodbles Lema..
Nani ana Elimu kumzidi mwenzake?
Juma Nkamia, Joseph Mbilinyi, Goodbles Lema..
Nani ana Elimu kumzidi mwenzake?
wote wana elimu kumzidi mchochezi wako mohamed saidi na hisia zake za kishetaniJuma Nkamia, Joseph Mbilinyi, Goodbles Lema..
Nani ana Elimu kumzidi mwenzake?
Mjadala unaendelea sasa BBC kuhusu posho
fuatilieni
- Juma posho ziongezwe ni ndogo mno
- Zitto posho ziondolewe