Juma Nkamia Vs Zitto Kabwe in BBC now

Juma anauliza mbona zitto alipoingia mara ya kwa hakupinga posho,huyu akilizake kaweka wapi,hajui wenzake wamefanya utafiti na kugundua zinapashwa kuondolewa,hajui kila kitu na wakati;hii staili imeumiza wengi sana wakubwa wote wanatengeneza posho za kufa mtu wafanyakazi wa chini wanalagaiwa eti taasisi haina uwezo hatawao wanahitaji mishahara mikubwa hivyo wavumilie,lakini angalia ukigeuka huku posha ya kikao,safari,entertaiment sijui nini mambo lukuki matokea yake hata mshahara wenyewe hauna kazi tena maana posho za kufa mtu.
Tutafika tu.
 
Samahani kwa wale waliomchagua Juma Nkamia kuwa mbunge lakini lazima niseme hiyo ni hasara. Nimemsikia mara nyingi na hisia yangu ni kwamba, Elimu yake NDOGO!

Hajui kazi yake ni nini na hajui hata kuchagua maneno ya bungeni, redioni, chumbani kwake na yale ya sitting room. Kwa sifa hizi, bado anaomba Malipo zaidi! Ni tatizo.

Hebnu tufikie hatua ya Uganda. Uganda, bila digrii moja basi huna sifa ya kuwa Mbunge. Kenya sifahamu lakini hapa kwetu, Kujua kusoma na kuandika kiswahili. Hapo kwenye EAC tutafanya lolote la maana?
 
Hebnu tufikie hatua ya Uganda. Uganda, bila digrii moja basi huna sifa ya kuwa Mbunge. Kenya sifahamu lakini hapa kwetu, Kujua kusoma na kuandika kiswahili. Hapo kwenye EAC tutafanya lolote la maana?

BoldBlack:
Mkuu kuna wengine ni madaktari(PhD) bado wanasema, wanaamua, na kutenda mambo ya 'ajabu'(hayafai) katika masuala yanayogusa jamii moja kwa moja. Mbali na elimu ya juu kuwa na umuhimu wake kutambulisha upeo wa mtu lakini bado tabia ya mtu binafsi ina nafasi kubwa katika yale anayoyasema, amua, na kutenda.
 
nkamia huwezi kumuweka na zitto kwa ajili ya mijadala mizito ni kama kumlinganisha rais kagame na jk ktk kusimamia maendeleo!
 
Hebnu tufikie hatua ya Uganda. Uganda, bila digrii moja basi huna sifa ya kuwa Mbunge. Kenya sifahamu lakini hapa kwetu, Kujua kusoma na kuandika kiswahili. Hapo kwenye EAC tutafanya lolote la maana?

Usomi sio igezo cha kuwa mbunge bora. Usdhani Prof wa UDSM aiwa mbunge wa kasulu atawawakilisha wananchi wa kasulu vizuri kuliko Mwalimu wa shule ya sekondary ya kasulu.

Nadhani watu wengi hatujui wajibu na majukumu ya mbunge ni nini. Ndio maana unaona wabunge kama Kina dewji. Kuna wabunge ni ma Dr na Prof lakini katika siku 365 kwa makwa hatumii hata siku 30 jimboni kwake. wachiia mbali wilayani au mkoani kwake.

BTN
JUma Nkamia ni kituko >nadhani hata ukimuuliaz toka amekuwa mbunge kama kafanyia uchunguzi tatiz, chanzo na suluisho la kina matonya anaweza kutoa sababu uwa ni wabunge wanapata posho ndogo
 
Nkamia amepewa ubunge! Ni wakawaida mno kiupeo wa kufikiri! next tym BBC watafute mtu mwenye uwezo zaidi! Mjadala haukunoga maana ulitegemea hoja za zitto! Nkamia ni Maandazi kabisaaaa!
Mtazamo, nadhani BBC walimteua Juma Nkamia kwa sababu ni mtangazaji wa RTD baadae TBC, ana good exposure, amefanya kazi BBC London na Voice of America. Ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza tatizo lake ni hana points hivyo Zitto kutawala mjadala.
 
Juma Nkamia, Joseph Mbilinyi, Goodbles Lema..

Nani ana Elimu kumzidi mwenzake?
 
Mh zitto amesema amemwandikia spika ann makinda kuwa hataendelea kutochukua posho ya vikao ,atabaki na mshahara ambao ni millioni saba kwa mwezi .amesema nafsi inamuuma kuona masking Havana kitu.pia ameelezea malipo kwa ajili ya jimbo shillingi 46m na wabunge wasijitete kuwa posho hizo night ajili ya wapiga kura wao
 
Mtoa mada umekurupuka,hoja ni nzuri,unaandika kama unakimbizwa.
Edit mada yako.
 
Juma Nkamia, Joseph Mbilinyi, Goodbles Lema..

Nani ana Elimu kumzidi mwenzake?

Kwa kigezo cha cheti cha elimu, Nkamia anaweza kuwa na cheti cha elimu kikubwa lakini kwa kuelimika Lema na Mbilinyi wameelimika zaidi.
Shida ni kuwa unapokuwa Mbunge kupitia CCM, elimu unaweka kando na uwezo wako wa kufikiri hata kama ni PhD holder unakwisha, unabaki kufikiri ki-CCM CCM!
 
Mjadala unaendelea sasa BBC kuhusu posho
  • Juma posho ziongezwe ni ndogo mno
  • Zitto posho ziondolewe
fuatilieni

Kipindi cha leo yalikuwa ni marudio ya mjadala uliofanyika miezi kama minne hadi mitano iliyopita.
Nakumbuka ilikuwa wakati wa mjadala wa bunge la bajeti wakati hoja ya posho ikiwa imeshika moto.

Kwakuwa sikusikia wakati BBC wanaanza matangazo, kama hawakusema kwamba ni marudio watakuwa wamejisahau. Asubuhi ya leo walirudia taarifa ya uchaguzi wa uganda, bila shaka watakuwa wanakumbushia baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri mwaka 2011.
 
Juma Nkamia, Joseph Mbilinyi, Goodbles Lema..

Nani ana Elimu kumzidi mwenzake?

[h=6]Joseph Mbilinyi
[/h][h=6]TAARIFA:VINEGA WA ANTI-VIRUS AKIWEMO KINEGA-MBUNGE LEO HII WAMESHAKABIDHI MAGUNIA 40 YA MAHINDI KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WA IYUNGA-MBEYA KAMA WALIVYOAHIDI NA WAKAZI WA IYUNGA WAMEWASHUKURU SANA NA KWA KWELI KULIKUWA NA HALI YA SHANGWE NA MATUMAINI...

TAFADHALI KAA TAYARI KUSAPOTI PROJECT ZETU ZA KIJAMII ZINAZOFUATA NCHI NZIMA...STAY TUNED!![/h]
 
Back
Top Bottom