Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,299
- 43,515
We jamaa akili zako siku zote zipo kwa kameruni
Kuuliza ni kosa?
We jamaa akili zako siku zote zipo kwa kameruni
profesa maji marefu,deo sanga,lusinde?
hawa jamaa kweli ni hatari eti kwa mbunge anae watumikia wananchi kama inavyo sitahili basi ni bora aongezewe posho
Mzee hawaku declare hivyo. Nilishangaa kipindi cha zamani wanarudia bila hata kutuambia!Kipindi cha leo yalikuwa ni marudio ya mjadala uliofanyika miezi kama minne hadi mitano iliyopita.
Nakumbuka ilikuwa wakati wa mjadala wa bunge la bajeti wakati hoja ya posho ikiwa imeshika moto.
Kwakuwa sikusikia wakati BBC wanaanza matangazo, kama hawakusema kwamba ni marudio watakuwa wamejisahau. Asubuhi ya leo walirudia taarifa ya uchaguzi wa uganda, bila shaka watakuwa wanakumbushia baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri mwaka 2011.
Mkamia n mbunge mwepesi,hajui kujenga hoja wala nini,huyu si aliwai kuwa kiongoz simba(katibu mwenez)aliishia kukimbia,kwanza nimeshangaa kuona na yeye anadegree kasoma lini?
maulaga, issue hapa ni posho za wabunge, mtetezi ni Mkamia mpinzani ni Zitto, maalim Mohamed Said hapa anaingiaje?.wote wana elimu kumzidi mchochezi wako mohamed saidi na hisia zake za kishetani
Njaa kali kishenzi huyo Juma, yani mara tu kapata ubunge anagombea posho!Hivi anayesema posho ziongezwe kuna wanowasikiliza sababu zao na hoja zao?
I doubt that they will make any sense...
Na huyo Juma Nkamia ndo nani? Ama ni ounching bag la zitto?
yaelekea waligombea ubunge ili kujipatia pesa za kujikimu kimaisha na kuwajibika kama tunavyo hitaji na hili la akina CHADEMA likikubaliwa litasababisha wengi kuacha kugombea ubunge we subiri uoneNjaa kali kishenzi huyo Juma, yani mara tu kapata ubunge anagombea posho!
Kwani rafiki yako ritz alivyowaingiza akina Sugu kwenye huu mjadala wa Nkamia na Zito ilikuwaje? Kwani ndugu yangu Pasco aliyekuhakikishia kwamba unaakili kuliko wachangiaji wengine humu ninani? Nakushauri acha matusi na dharau kwani inakujengea maadui wengi kuliko unavyowahitaji.maulaga, issue hapa ni posho za wabunge, mtetezi ni Mkamia mpinzani ni Zitto, maalim Mohamed Said hapa anaingiaje?.
Japo nakubaliana na hoja kuwa ni mchochezi, sasa hii hoja ya makala za uchochezi za Mohamed Saidi humu kwenye thread hii zinaingiaje?.
Watu wengine kweli akili za matope mkiambiwa mnafikiri kwa kutumia .... mtalalamika mnaonewa?!