Juma Nkamia Vs Zitto Kabwe in BBC now

Juma Nkamia Vs Zitto Kabwe in BBC now

zitto: mshahara wa mbunge ni milioni 2.3, na unakatwa kodi
posho ni milioni tano
kwa mwezi hiyo.

kamati zinakaa vikao 80 kwa mwaka + vikao mbalimbali vya bunge ambavyo ni elfu 70/80 kwa siku
wanapewa fedha kupitia mfuko wa kuendeleza jimbo+ mkopo wa gari

Mkuu posho ya vikao ni laki mbili kwa siku siyo elfu sabini! Rekebisha kumbukumbu zako. Posho ya kujikimu/DSA ndiyo elfu themanini kwa siku.
 
hivi hawa wabunge wana nini jamani maisha yanapanda kwao sio kwa wananchi gharama za maisha hazipandi mimi sitaki hata kuwasikia wanatia kichefuchefu
 
Nkami Juma ni mbunge kupitia CCM yeye anadhani ni kusoma taarifa redioni,huyu nae ni kilaza kumbe,sikujua kabisa nae ameshakuwa gamba mara hii,kumbe ukichukua kadi ya CCM leo tayari unavaa gamba la ufisadi na ubinafsi,kazi kweli kweli

Kujitetea kwake anasema eti wabunge wa cdm wanatumia vitu kama hivyo kujichukulia umaarufu cjui hapo kuna mantic gani
 
maneno na utetezi wa posho unaotoka kwenye ubongo na mdomo wa Mh. Juma Nkamia vinatia kichefufu, kinyaa, maudhi. Na ni dharau, ulevi, tamaa, kujisahau, ujinga na UDHALIMU MTUPU. Lakini chanzo ni kilekile ... UPOLE NA UJINGA WA WATANZANIA.
 
mbunge kenya-wabunge east africa wanalipwa kuliko wabunge wa uingereza nchi ambayo inatusaidia...
 
Du kama ni siku 80 vikao na posho yenyewe ndo imepandishwa mpaka laki 2
 
Zitto kaua, huwezi kulaumiwa kwa kosa la mwaka jana eg eti kwa nini hukuacha pombe mwaka jana na unaacha mwaka huu
 
Juma zitto ni mjanja kama sungura hili suala aliiba ccm ili kijinufaisha
 
nkamia kweli ni gamba eti kwa kuwa wabunge wanalipwa mshahara mdogo basi eti yeye ni mbunge maskini
 
na mwananchi yeyote anayekubali ujinga kwamba suala la posho za wawakilishi eti ni la kisiasa ...si kosa lako, ni victim wa mfumo.
 
kulipa kodi juma yupo hata leo

zitto amemwandikia spika ili asilipwe sittimg allonce
 
Juma kweli kama ndivyo,basi kama wapo mia kama yeye wanaoshindwa kujenga hoja basi msitegemee nchi itabadilika,la sivyo CCM iondoke madarakana kwa uchache wa wabunge.
mungu tusaidie
 
Mjadala huu ni recorded na ni ya muda mrefu kidogo, ila najua bbc wameamua kuurudia kwa kuwa bado unatija hadi sasa. Balaa ni kwa juma.... Maana najua hajafurahia kurudiwa tena mjadala huu kwa jinsi magamba walivyopingwa na wananchi kuhusu posho kwa sasa....
 
Nkamia amepewa ubunge! Ni wakawaida mno kiupeo wa kufikiri! next tym BBC watafute mtu mwenye uwezo zaidi! Mjadala haukunoga maana ulitegemea hoja za zitto! Nkamia ni Maandazi kabisaaaa!
 
Mkuu posho ya vikao ni laki mbili kwa siku siyo elfu sabini! Rekebisha kumbukumbu zako. Posho ya kujikimu/DSA ndiyo elfu themanini kwa siku.

Ni sahihi kusema 70,000/ kwa kuwa kipindi kirushwa zamani kidogo wakati 200,00/= haijaanza. Sijui BBC kama wamewaambia watu kuwa mahojiano yalifanywa muda umepita sana. Wanakirusha second time.
 
Back
Top Bottom