figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,632
- 62,511
ngoja kesho ntamuuliza. leo hajatokea kijiweni. mia
Njaa mbaya ha ha haa.
Ninaposikia taarifa kama hizi huwa zinanifurahisha sana! Kama CHADEMA wanazani kukubalika wanamuziki ktk sanaa ndo kukubalika katika ulingo wa siasa, basi watakuwa wanapotea njia! Yaani Juma Nature agombee Ubunge Temeke na kisha mtarajie kushinda kwavile tu Nature anakubalika TMK ktk ulingo wa sanaa?! You're not serious.....nimekaa sana na hawa wasanii wa bongo flavor especially kutoka old wanaume family....they don't have what it take in politics....sio wanaharakati wala wapiganaji kama mnavtofikiria! Kwa taarifa yenu, mpiganaji pekee kutoka Wanaume (Old Wanaume) ni Kakaman, na ndio maana hakuweza kudumu na kundi coz' yule dogo kwanza kuzinguliwa hapendi na ndio maana alikuwa mbwa na paka na Said Fella coz' Fella na Fella alifanya jitihada zote kumpteza, na alifanikiwa! Mara kumi mtu angeniambia Mheshimiwa Temba, lakini Nature! You're not serious! Lakini kwa bahati mbaya, Temba yupo kwenye mikono ya Fella; na Fella anakula kupitia CCM, so Temba kuwa mpiganaji kupitia CHADEMA ni labda ajiengue Wanaume!!
CHADEMA ningewashauri waache kujaribu kutumia umaarufu wa wasanii wa kizazi kipya, hautawafikisha popote! Naona mnafanya mistake ambazo mlizifanya kwa Nakaaya; mlipoona ameimba nyimbo Mr, Politician na kuzungumzia jinsi Mr. Politician alivyo hovyo hovyo, mkazani Nakaaya nae ni Politician! Tofautisheni wana-Bongo Flavor wengine na mtu kama Sugu! Mtu anayeifahamu Bongo Flavor tangu enzi za akina Salehe Jabir, wakati Sugu anajiita Too Proud, enzi za KU na akina Adil, anafahamu kwamba Mr. II tangu wakati huo alikuwa ni mpiganaji na mwanaharakati hata kupitia kwenye nyimbo zake! Kwa watu tuliokuwa na Bongo Flavor, huku tukitembea na mabuti over size tukijilinganisha na Naughty By Nature, tunafahamu hata Professor Jay doesn't have what it take to be mwanaharakati!
Vp wewe hugombei?
Hahahaha wanamfuata DJ MBOWE
Mwenyekiti DJ na wabunge wake ni wasanii kama vile Sugu,juma nature,Afande Sele
Naililia Nchi yangu Tanzani maana CCM ni Genge la wahuni,majambazi wapiga dili za 10% na CDM ndio hao vilaza na wavuta bange ndio wanataka kuongoza nchi.
Nchi hii kweli imelaaniwa.
Aache kugombea achekwe.MAMA Anaenda kugombea mtwara mtoto bagamoyo
kuvimbiwa ni mbaya zaidi kuliko njaaNjaa mbaya ha ha haa.
Akili ya aina yako ndio inafanya nchi kuonekana imelaaniwa.
Wasanii ni sehemu muhimu katika jamii,na si wavuta bangi.
Kuwepo baadhi wanao vuta haku justify generalization uliyo ifanya.
Mr. II hawezi kuwa role mode wa Professor J wala Nature.....hawa watatu, wapo tofauti kimtazamo! Narudia, Sugu alionesha dalili za uanaharakati from the begining na sio J wala Nature! Mr. II na Professor J wanafanana kitu kimoja; wote walikuwa wanaharakati katika "kuleta mabadiliko (kimuziki) katika muziki wa kizazi kipya" lakini linapokuja suala la harakati za kupinga dhuluma; hapo Professor J na Mr. II ni watu wawili tofauti! Tangu zamani Mr. II alikuwa anaonekana kabisa kwamba hakuwa comfortable na system lakini sio kwa Professor J wala Nature!what if si CDM wanwatafuta..ni mziki wa SUGU umewafanya wamgeuze role model wao fasta?Na kwanini CDm wawakatae wakija?Waliokataliwa ni viongozi wa CCM,ndio deadline yao imekwisha.Utapata wapi uhalali wa kuwasema CDM kihivi?By the way hakuna kinacho cost zaidi ya faida ktk mikutano.Na nyimbo zao kubeba uhamasishaji.
hee na mama yake nae anataka kugombea??? si nasikia wao hawawataki form four liver kama akina sugu wanaka vyio vikuu sasa mama duh haya bwanaAache kugombea achekwe.MAMA Anaenda kugombea mtwara mtoto bagamoyo
yuko tadeana kingwendu ngwendulile