Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Kurudia kwako ni kawaida wala huhitaji niweka attention.Huwa wewe hujibaraguza kwanza halafu unajongea machinjioni...naona umekubali kuwa Two anaweza kuwa Role model wao ktk siasa na mambo mengi tuu ya harakati amabyo wao wenyewe ndio wapo kt position ya kujieleza(kukataa) kuliko wewe. Utajidanganya sana kwa vile walianza kipindi cha kufanana ila ktk music ,sanaa na michezo si ajabu mzee akafuata nyayo za kijana.Messi ana wachezaji wengi tuu wanaomfuatili kila hatua kuanzai bongo hadi ulaya, mike jackson,alikuja tengenezewa wimbo bora na R-kelly, Sharo alikuwa manager na co worker wa Mzee majuto. Naomba isiwe ngumu tena ,uendelee kurudia rudia tena.Mr. II hawezi kuwa role mode wa Professor J wala Nature.....hawa watatu, wapo tofauti kimtazamo! Narudia, Sugu alionesha dalili za uanaharakati from the begining na sio J wala Nature! Mr. II na Professor J wanafanana kitu kimoja; wote walikuwa wanaharakati katika "kuleta mabadiliko (kimuziki) katika muziki wa kizazi kipya" lakini linapokuja suala la harakati za kupinga dhuluma; hapo Professor J na Mr. II ni watu wawili tofauti! Tangu zamani Mr. II alikuwa anaonekana kabisa kwamba hakuwa comfortable na system lakini sio kwa Professor J wala Nature! Wanaweza kumuona role model wao sio kwa kuhamasika na kutamani ku-deliver kile ambacho kinakuwa delivered na Mr. II bali wanaweza kuwa Role Model wao just kwa kutamani Political Position, especially kwa Professor J!
Ukishakubali wanakuja wenyewe, halafu CDm ina warecruit na kuwafanya weapon of mass destructions kwa magamba.Whats your point.Kushangilia?Hata ronaldo akija man U kuna watu walishangilia ingawa alitoka mchangani portugal.Na he was worth it. Hayo ya Mtatiro ni matatizo yako tuu kifikra,na suggestions za kichonganishi.Nani alijua kuwa Sitta nape ni wa hovyo hivyo hadi waliposogea ktk anga za CDM wakawavua nguo.CDM wanaona vyema ndio maana CUF wamemchukua Safari, Mtatiro anaweza fit alipo kuliko un avyodhani.Aidha, inawezekana wanakuja wenyewe, lakini nanyi mnawashabikia kana kwamba wana political influence!! Kuna mdau kasema eti Nature anataka kugombea ubunge Temeke; kama si masihara kwenye siasa tuite nini! Kwa ninavyomuona Professor J ana-fit zaid kwenye siasa za CCM kuliko CHADEMA sawa na ambavyo Julius Mtatiro anavyoweza ku-fit kwenye siasa za CHADEMA kuliko CUF lakini ameamua ku-opt CUF just for political position kuliko ideology na ndivyo ilivyo kwa upande wa Professor J! Sitashangaa, kesho na kesho kutwa, Lady Jay dee nae nikasikia anajiunga CHADEMA nanyi mtampigia makofi na vigelele na kumuita Mwanaharakati!
Hata wewe unaweza kuwa mtoto sana kifikra...Umejuaje watakaokuja baadaye si mamluki na hivyo hawakuwahi kuwa wana CCM?Hujawahi sikia mwanamke anamwambai mumewe hakuwahi mpenda?Sasa kama mamlui wametumwa kwa kazi maalumu, utawaiata wana CCM?just because wana kadi na wanalipa michango kwa hela ya CCM wenyewe? Kwa vile hujui unachoongea nikusamehe bure.Hata nikikuambia kuwa kuna uwekano Jua nalo kuna scenarionalo linakuwa linazunguka dunia unaweza ruka juu ya keyboard kwa vile maisha yako yanazunguka ktk "common sense pekee".kama walimu wako ambao hadi leo wanaamini kuna 3states of matter.Madai kwamba waliokataliwa ni wa CCM, ningependekeza madai hayo kawapatie watoto wasiozijua siasa za CCM na CHADEMA; kwangu naweza kushawishika kwamba ni jua ndiyo inalizunguka dunia kuliko madai kwamba CHADEMA imefunga milango kwa watu wa CCM!