Juma Nature naye mbioni Kujiunga na CHADEMA

Baada ya kukosa wabunge wenye sera mmegundua kumuongezea nguvu Sugu watu wa kufokafoka ili mburudishe watu bungeni hapo mmefaulu lkn kusukuma taifa mbele ni ziro.
 
duh! CDM inaelekea kuwa THE DEN OF MARIJUANA SMOKERZ, kitakuwa ndio chama pekee chenye safu ya uongozi ambayo 50%+ ni wavuta bangi(excluding mnyika,ZZK and SLAA ofcoz)
 
unaongea bila ushaidi wewe..tayra type of person
 
Back
Top Bottom