baada ya prof. Jay kujiunga na chadema.
Taarifa zilizopo ni kuwa msanii mwingine maarufu,
juma kasim (juma nature) naye yuko mbioni kufanya hivyo.
Karibu sana nature!
Vijana sasa wanabadilika kwa kasi..hadi 2015!
Chadema itakuwa sehemu nzuri sana...
Source: Juma nature mwenyewe..
Nature karibu tuiweke CCM ''kibra''
Mashauzi nae kuhamia ccm soon
Kikwete aliahidi kuwapatia bongo flavor artists studio ya nguvu na ya kisasa
mmh hii ndo tanzania before i die nitashuhudia mengi.
I wonder bunge la mwaka 2016 litakuwaje maana wanaotangaza nia ya kugombea ni wa aina yake.
Diva, afande sele, steve nyerere, mange kimambi, sitoshangaa nikisikia wema, inawezekana hata diamond akataka, now juma nature, and bado wengine wengi tu
Njaa mbaya ha ha haa.
Hii habari ya kupiga simu inaweza kuwa kweli kwani huyu mzee ni bogas sana, hakui kiakili. Wenzake wanasoma na kuandika mambo makubwa yeye anakumbilia kufanya urafiki na watoto wa bongo fleva! Bado kila nikikumbuka alipoapishwa akakimbilia club ya Real Madrid eti kuwaalika Tz nampuuza sana huyu babu!