Dah nimecheka sana mkuu kusikia hilo jina..... ha ha hah ahna kingwendu ngwendulile
Kikwete aliahidi kuwapatia bongo flavor artists studio ya nguvu na ya kisasa
as long as juma nature ni mtanzania, then ana haki kikatiba kujiungj na chama chochote cha siasa kwa utashi wake mradi asivunje sheria za nchi. km akijiunga na cdm huo ni uamuzi wake na lazima tuuheshimu. km kweli karibu sana kijana kwenye chama cha ukombozi wa mtz.
Baada ya prof. jay kujiunga na CHADEMA.
Taarifa zilizopo ni kuwa msanii mwingine maarufu,
Juma Kasim (Juma Nature) naye yuko mbioni kufanya hivyo.
Karibu sana Nature!
Vijana sasa wanabadilika kwa kasi..hadi 2015!
CHADEMA itakuwa sehemu nzuri sana...
Source: Juma Nature mwenyewe..
Pole sana manake una kazi kubwa!
subiri uone akikabidhiwa kadi ya CDM ndiyo utaamini mkuu..
Hii habari ya kupiga simu inaweza kuwa kweli kwani huyu mzee ni bogas sana, hakui kiakili. Wenzake wanasoma na kuandika mambo makubwa yeye anakumbilia kufanya urafiki na watoto wa bongo fleva! Bado kila nikikumbuka alipoapishwa akakimbilia club ya Real Madrid eti kuwaalika Tz nampuuza sana huyu babu!
Baada ya prof. jay kujiunga na CHADEMA.
Taarifa zilizopo ni kuwa msanii mwingine maarufu,
Juma Kasim (Juma Nature) naye yuko mbioni kufanya hivyo.
Karibu sana Nature!
Vijana sasa wanabadilika kwa kasi..hadi 2015!
CHADEMA itakuwa sehemu nzuri sana...
Source: Juma Nature mwenyewe..
we uko upande gani chadema ama ccmBaada ya prof. jay kujiunga na CHADEMA.
Taarifa zilizopo ni kuwa msanii mwingine maarufu,
Juma Kasim (Juma Nature) naye yuko mbioni kufanya hivyo.
Karibu sana Nature!
Vijana sasa wanabadilika kwa kasi..hadi 2015!
CHADEMA itakuwa sehemu nzuri sana...
Source: Juma Nature mwenyewe..
Cdm wameamua kununua wasanii!!!!!