Awali ya yote natuma pongezi kwa vijana wa BAVICHA kwa ushiriki wenu mkubwa kwenye zoezi la UHURU na USAFI leo katika maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwa ni kuonga mkono uongozi wa Rais JPM.:lock1::lock1::lock1:
Msingi wa andiko langu ni kutaka kujua aliko Babu Duni kwa vile Kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu, yameambatana na kupotea ghafla kwa Babu Juma Duni aliyekuwa mgombea mwenza wa CDM; Ndugu zangu wa CDM naomba mtujuze aliko Babu Duni kwani kwenye tukio zima la kugombea mwili wa Mawazo hakuonekana; je amesharejea CUF??