Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Bwana J ulius Mtatiro anakabiliwa na tuhuma ya kutumia jina bandia ambapo kambi ya Bw.Hamad rashid imedai kukamata mawasiliano kati ya Bw.Mtatiro na mwenye jina hilo.Taarifa kutoka kambi ya Bwana Hamad inaeleza kuwa ,kulikuwepo na mawasiliano kati ya Bw.Mtatiro na mwenye jina hilo ambapo inaelezwa kuwa ,jina halisi la Bw.Mtatiro ni Bw.Sunday Charles.
Source: Majira, 26/02/2012 pp 4 "CUF kufa 2013"
My take: Inaonekana ukifanyika utafiti yakinifu mengi yanaweza kugundulika,tatizo hili linaonekana ni kubwa sana hapa nchini kwetu,kwa wale ambao wanatafuta research titles,this is highly recommended!
Mkuu mbona unakwenda nje ya mada?nani ameongelea mambo vya vyama?mimi kama mtoa hoja sijaonjelea chama bali nimejikita zaidi kwenye matumizi ya jina!
Guys! give the man a break! You have chosen your party and he has chosen his! Isiwe nongwa yeye kutokuwa CDM. Kama mnamuona jembe si bora mumuendee kistaarabu?
Kwa maana hiyo jamaa alifeli akatafuta second chance ndio akafaulu, which means jamaa ni kilaza. Pia kutafuta 2nd chance haihalalishi kitendo alichokifanya kwani sio mfano mzuri kwa jamii, ingawa anaweza kuwa na sababu za msingi kufanya hivyo na manufaa yake ameyapata. Hope hii experience itamsaidia kupata ubunge 2015 kwani alishafeli ubunge 2010.Mtatiro si mtanzania wa kwanza kurudia shule baada ya kukosa nafasi ya kuchaguliwa kwenda secondary, watanzani wengi sana waliosoma miaka ya sabini themanini na tisini hata sasa wanatumia majina ambayo si yao, wakati ule kwenda secondary haikuwa shuhuli rahisi unakuta kata nzima wamechaguliwa watano au sita so watu wanatafuta majina ya walioacha shule au watoro wa kudumu wanayatumia kujaribu tena bahati yao, kama hii scenario ndo inamhukumu Mtatiro mimi nitakuwa upande wake kabisaaa
Pcecisely mkuu!Yaani unasema kwa kifupi kwamba Julius Mtatiro huenda ni jina la mtu ambaye yuko hukoooo anachunga ng'ombe au?
Mtatiro si mtanzania wa kwanza kurudia shule baada ya kukosa nafasi ya kuchaguliwa kwenda secondary, watanzani wengi sana waliosoma miaka ya sabini themanini na tisini hata sasa wanatumia majina ambayo si yao, wakati ule kwenda secondary haikuwa shuhuli rahisi unakuta kata nzima wamechaguliwa watano au sita so watu wanatafuta majina ya walioacha shule au watoro wa kudumu wanayatumia kujaribu tena bahati yao, kama hii scenario ndo inamhukumu Mtatiro mimi nitakuwa upande wake kabisaaa
Pcecisely mkuu!
Kweli nimeamini siasa ni mschezo mchafu !
Ni hatari kudanganya jina/umri kwa sababu kama kwenye mambo madogo sio muaminifu je wananchi watakuamini vipi kwenye mambo makubwa? Hili ni kosa tosha la kujiuzulu nyadhifa.
Mtatiro si mtanzania wa kwanza kurudia shule baada ya kukosa nafasi ya kuchaguliwa kwenda secondary, watanzani wengi sana waliosoma miaka ya sabini themanini na tisini hata sasa wanatumia majina ambayo si yao, wakati ule kwenda secondary haikuwa shuhuli rahisi unakuta kata nzima wamechaguliwa watano au sita so watu wanatafuta majina ya walioacha shule au watoro wa kudumu wanayatumia kujaribu tena bahati yao, kama hii scenario ndo inamhukumu Mtatiro mimi nitakuwa upande wake kabisaaa
Sishangai san,..
enzi hizo kufaulu ilikuwa kazi sana na wengine walio kuwa wakifaulu walikua
hawaendi sekondari so ulikua una mlipa hela aliye faulu then unachuku nafasi yake.
Nime yashuhudia mengi sana,sio ajabu.
Rhobi Makindi alikua anabadilishwa anaitwa Robert Makendo,Mkami Bisendo anaitwa Mkama Biseko baada ya kurudia shule.
Hapo kwenye red, sitaki kukubali kuwa watu waliofeli nyakati zile walikuwa vilaza, kumbuka mkoa wa mara ulikuwa na sekondari tatu tu yaani Tarime Sec, Mara na Musoma alliance kwa hiyo kupata nafasi haikuwa rahisi kumbuka pia rushwa ilikuwa sehemu ya watu kuchaguliwa katika shule hizi na fact zingine kibao. Amini usiamini kuna watu wengi sana Bongo wanaotumia majina yasiyo yao waliosoma nyakati hizi.Kwa maana hiyo jamaa alifeli akatafuta second chance ndio akafaulu, which means jamaa ni kilaza. Pia kutafuta 2nd chance haihalalishi kitendo alichokifanya kwani sio mfano mzuri kwa jamii, ingawa anaweza kuwa na sababu za msingi kufanya hivyo na manufaa yake ameyapata. Hope hii experience itamsaidia kupata ubunge 2015 kwani alishafeli ubunge 2010.
Watanzania lazima tujenge utaratibu wa kuwaweka viongozi katika public scrutiny ili tupate viongozi wazuri na wasafi. Haya mambo ya kuwa na RAIS MWENYE GPA 2.1 yanatokana na kutowaweka viongozi ktk public srutiny. Nawapongeza CUF kwa kujua maovu ya Mtatiro, endeleeni kwa viongozi wengine...
Mkuu kwanza naomba uelewe kuwa we not justifying this bu it is unfortunate kwamba imefanyika katika nchi yetu kwa kiwango cha juu hata watu ambao hutegemei wamepitia the same trend so mkichokonoa hili kwa Mtatiro hatimaye utashangaa ni wengi wasio salama katika hiliKwani sheria inasemaje kuhusu hili? Ukiwa mtoro au ukiacha shule basi unapoteza haki-miliki ya jina lako?