Julius Mtatiro: CHADEMA ni chama cha matapeli, wahuni

Julius Mtatiro: CHADEMA ni chama cha matapeli, wahuni

Julius Mtatiro Hongera Sana
Hahahahaaa......nchi ya mazombi. Ngoja mchina aje ajitwalie jimbo lake la tz km alivyoitwaa Zambia. Kwa aina hii ya viongozi na wasomi makapi km hawa Mchina atachukua mpaka shule na zahanati. Muda utasema!!
 
Anataka uJokate huyo. Utoke CUF, ukawatukane Chadema. Uliolewa mitala au?
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.



Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.



Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.



Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani. wanashibisha matumbo yao."View attachment 865544
Niulize tu huyu mtatiro kwani naye alikuwa mwanachama Wa chadema?yeye sii alikuwa cuf anapaswa aseme ya cuf tu ya chadema amwaachiye waitara
 
Ni lazima mtu aitukane chadema kwa kuwa CUF tayari imeshabomolewa na ccm. Shida kubwa sasa ni chadema kwa hiyo wote wanaotaka udc hata kama wana akuli kama Mtatiro ni lazima wajifanye wajinga sana na kuitukana chadema ambayo iliwalea mpaka wakafika hapo.
Hakuna kibaya kama njaa lakini ni aibu kwa wasomi mumekuwa kama malaya sasa.
Wote mliotoka mkatukana hakuna anayewaheshimu hata kidogo.
Jerry Muro ziiiiiii
Mtatiro ziiiii
Waitara ziii
Afadhali Kafulila aliyeondoka kimya kimya na hiyo ni kwa kuwa mke anapata chakula upande wa pili. Akikosa tu naye ataagizwa kutukana!
Wasomi wetu ziiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mtariro JS endelea kutupigisha stori huku ukisubiria kuteuliwa kuwa Jaji ya Mahakama Kuu ya Tanzania.
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.

Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.

Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.

Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani; wanashibisha matumbo yao."

View attachment 865544
Mtandio sijui mtatiro naona amekata tamaa kisiasa so ameamua kujitoa akili,pole yake.
 
Upinzani ni Spirit na si ufuasi wa vyama kama kuna mtz bado ana mawazo mgando kama hayo amechelewa sana
 
Atuache na sisi tukifikisha miaka 10 tutahama..
Yani Kuna wahuni zaidi ya 6 million walipiga kura 2015 !! Akiwemo na yeye..
Njaa mbaya sana, Unahama CUF Matusi unaitukana Chadema duh!
Leo mmekubali kuwa zilikuwa 6,000,000???
 
Fanya mpango na sisi tupewe hela na ili tushtuke basi
 
Jifunze kwa Kafulila wewe Mtatiro! Uhayawani utaondoka duniani bila heshima kama Guninita
 
Huyu nae ni mpumbavu kama wapumbavu wengine.ni wakupuuza.raaaabiiiish...takataka
 
Maskini mtatiro wamemfanya nini uko ccm jamni anatumia makalio sasa si kichwa tena
 
Mtatiro aache siasa nyepe, CCM tuuze Sera na sio kila siku kuwaongelea wapinzani
Kichaa /mwenyekiti wao siku anapokea ile skrepa ya drimulaina neno la kwanza kutamka ilikua wasioipenda ccm watapata tabu sana
.
.
Sasa kama dereva mwenyewe anafanya vitu kwa kuprove upande flani unahisi hawa abiria watasema nini?
.
.
Ccm ilishakufa muda tu, tuna usalama wa taifa na genge la polisi + tume ya hovyo.
 
Back
Top Bottom