Alishasilimishwa na mkeweNaona ana bonge la singida kwenye paji lake la uso. Huyo si Jully?
Kweli ujafa ujaumbika nimeamini wahengaAliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.
Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.
Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.
Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani. wanashibisha matumbo yao."View attachment 865544
Mtatatiro kawa kituko badala ya kumnadi kilaza mwenzake waitara kwa Sera za maendeleo kaamua kujiingiza kwenye Majungu fitna za kishambaAliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.
Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.
Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.
Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani. wanashibisha matumbo yao."View attachment 865544
Pia atakuwa anavuta BangiNjaa tuu huyu inamsumbua
Hata mimi hua najiuliza ila sipati jibu !Naona ana bonge la singida kwenye paji lake la uso. Huyo si Jully?
Nimeamini mtu kula matapishi yakeAliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.
Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.
Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.
Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani. wanashibisha matumbo yao."View attachment 865544
Hata mimi hua najiuliza ila sipati jibu !Naona ana bonge la singida kwenye paji lake la uso. Huyo si Jully?
Hasa pabaya ni pale njaa inapokuwa impanda kichwaniHe he he he
Usiombe kukutana na mtu mzima ambaye anatumia tumbo kuongea....
Kuna mtu mmoja hapa jukwaani alisemaga kuwa mtu akiingia lumumba elimu yake huwa anaiwacha getiniTanzania ni moja ya nchi yenye wasomi wajinga sana, wasomi wa nchi hii hawana tofauti na wasio na elimu hata ya darasa la kwanza
Na mtu akihamia ccm tu uwezo wake wa kufikiri na kutenda hushuka sana
Mzee baba ! Pale ulipo piga nukta ingetosha.Chadema itawatoa nyongo.pumbavu
Hapo sasa ndipo namdharau huyu kwangu pakavuAtuache na sisi tukifikisha miaka 10 tutahama..
Yani Kuna wahuni zaidi ya 6 million walipiga kura 2015 !! Akiwemo na yeye..
Njaa mbaya sana, Unahama CUF Matusi unaitukana Chadema duh!