Julius Mtatiro: CHADEMA ni chama cha matapeli, wahuni

Julius Mtatiro: CHADEMA ni chama cha matapeli, wahuni

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.

Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.

Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.

Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani; wanashibisha matumbo yao."

View attachment 865544
Hapo sjaelewa huyu jamaa alikuwa mwanachama wa chdema? badala ya kueleza kwa nini katoka chama cha cuf, antoa story kuhusu chama kingine ambacho hakuwahi kuwa mwanachama. Nilitegemea atueleze kwanini Profesa na Maalim walitofautiana na mkasa wa yeye kukosa ruzuku ya cuf.
 
Aliyekuwa Mtanzania anaomba uraia wa kenya anaupata halafu baada ya kuamia Kenya anasema waganda ni matapeli sababu alikuwa na uraia wa Tz iliyopo east Africa ambayo Uganda nayo ipo.
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.

Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.

Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.

Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani; wanashibisha matumbo yao."

View attachment 865544
Umekaa miaka 10,upinzani!upinzani uliojaa utaperi na uhuni!uliwezaje kukaa miaka yote hiyo!
Kama imekuchukua miaka 10,kujua ulipo sio pasafi,wewe ni kilaza namba moja mkuu,na ni aibu kwa Taifa ukisema ulisoma hata kidato cha NNE.
Kujua kwamba sehemu haifai,imejaa wahuni na mataperi,unahitaji wiki moja tu!!!!,we umekaa miaka kumi!!!
Sasa ama unayosema ni uongo,unasema ili wakubwa wakuone uteuliwe,au wewe nawe ni taperi na mhuni,usiyejua lolote
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye wasomi wajinga sana, wasomi wa nchi hii hawana tofauti na wasio na elimu hata ya darasa la kwanza

Na mtu akihamia ccm tu uwezo wake wa kufikiri na kutenda hushuka sana

Msomi anayesema au kufanya mambo yasiyoendana na akili ya kawaida tu ya kupambanua, siyo mjinga bali ni mpumbavu.
Usomi una maana ya kufuta ujinga.
Hata hivyo, wapumbavu wapo kuanzia wasiosoma hadi maprofesa.
 
Back
Top Bottom