Good! Naona hajitambui kabisa! Nasikitika sana badala afanye siasa za kistaarabu yeye anatukana Mungu amsamehe sanaKama chama cha matapeli na wahuni na kinapokea ruzuku ya mamilioni ya Tsh kwa mwezi toka serikalini basi serikali iliyopo madarakani haina uhalali tena wa kuendelea kuwapo madarakani maana imeshindwa kuongoza nchi kwa kuacha matapeli na wahuni wakijichotea tu mamilioni ya pesa kila mwezi toka hazina
Wapi kakubali Prof Lipumba alikuwa Mlezi wake ...au unataka tuamini hivyo..Tuliandika humu humu JF Kuwa Prof Lipumba ndie alikuwa Mlezi wa Mtatiro ndani ya CUF Na bila ya usimamizi wa Prof Lipumba, Mtatiro haendani Na kasi ya Sultan Seif watu Na Hata yeye Mwenyewe ali bisha
Boya Kabisa,alikuwa CUF,anaitukana Chadema. Bila kujifahamu wanaitangaza chadema.Atuache na sisi tukifikisha miaka 10 tutahama..
Yani Kuna wahuni zaidi ya 6 million walipiga kura 2015 !! Akiwemo na yeye..
Njaa mbaya sana, Unahama CUF Matusi unaitukana Chadema duh!
Jamaa inasemekana "walimphira" halafu wakamrekodi...nilipopata hii taarifa moyo uliniuma sana...tumsamehe bure kijana mwenzetu twajua kwamba mwili upo CCM ila moyo na akili yake ipo Upinzani.
Mtatiro kashindwa kuiongoza CUF anaishambulia CDM?Tunaendelea kuthibitisha kauli zetu za awali.
Credibility ya Chadema inaelekea shimoni kwa spidi ya ajabu.
CDM waliona mbaliNilisononeka sana 2015 huyu Mtatiro aliposhindwa kwenye uchaguzi wa ubunge jimbo la Segerea, Lakini sasa nimeamini kwamba kwa kila litokealo, lazima kuna sababu nyuma yake.. Huyu angetutia hasara ya uchaguzi mwingine wa jimbo la Segerea kama angeshinda.. Mwanaume dhaifu..
Kwa kipimo cha Mtatiro na CCM it is true.Tunaendelea kuthibitisha kauli zetu za awali.
Credibility ya Chadema inaelekea shimoni kwa spidi ya ajabu.
Mtatiro kashindwa kuiongoza CUF anaishambulia CDM?
Mkuu huwa unalipwa shilingi ngapi kwa kuitetea CCM?Tunaendelea kuthibitisha kauli zetu za awali.
Credibility ya Chadema inaelekea shimoni kwa spidi ya ajabu.
Kuongea au Kufikiri?He he he he
Usiombe kukutana na mtu mzima ambaye anatumia tumbo kuongea....