Julius Mtatiro: CHADEMA ni chama cha matapeli, wahuni

Julius Mtatiro: CHADEMA ni chama cha matapeli, wahuni

Hakuna wakupata hapo washaonekana hawana akili majuha hawakawii kuja kuigeuka ccm huko mbeleni ni njaa ndo zinawafanya waropoke hovyo.
Hawa vijana ni wakuwatazama kwa jicho la tatu kwa kukubali kununuliwa
 
Inawezekana anaongea hivyo maana jiwe alisema anapenda vichaa labda nae akiwa mwezi mchanga anaweza kuteuliwa.
 
Jamaa inasemekana "walimphira" halafu wakamrekodi...nilipopata hii taarifa moyo uliniuma sana...tumsamehe bure kijana mwenzetu twajua kwamba mwili upo CCM ila moyo na akili yake ipo Upinzani.
Is this great thinking kweli ! Lol hebu tustaarabike jamani.
 
Atuache na sisi tukifikisha miaka 10 tutahama..
Yani Kuna wahuni zaidi ya 6 million walipiga kura 2015 !! Akiwemo na yeye..
Njaa mbaya sana, Unahama CUF Matusi unaitukana Chadema duh!
Kafu washaiua ndo mana hawezi jisumbua kuitukana.
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye wasomi wajinga sana, wasomi wa nchi hii hawana tofauti na wasio na elimu hata ya darasa la kwanza

Na mtu akihamia ccm tu uwezo wake wa kufikiri na kutenda hushuka sana
Sababu wanabatizwa kwa maji ya chanikiwiti na kufukizwa na moto mtakatifu
 
Hivi huyu jamaa siku hizi ni mfuasi wa dini ya haki?
 
haa haa. huyu. naye. ni msomi mwenye phd aliyosema ndugai ama? mtatiro. kitendo. cha kuswekwa rumande siku moja. akili. imemruka duh
 
Tunaendelea kuthibitisha kauli zetu za awali.

Credibility ya Chadema inaelekea shimoni kwa spidi ya ajabu.
Mkuu, jitahidi kuwa objective, Mtatiro ahame CUF na kujiunga na CCM, hapo credibility ya Chadema inaingiaje hapo? Ningekuunga mkono kama ungemsifia Magufuli kwa kuwapelekesha wanasiasa uchwara wetu, sio kwa hiyo comment.

Vv
 
Back
Top Bottom