Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Hadi ampigie magoti na kumsujudia chakubangaPole Comrade Mtatiro, huko usipoongea japo hovyo hovyo, waweza kupoteza KULA man.
Hadi ampigie magoti na kumsujudia chakubangaPole Comrade Mtatiro, huko usipoongea japo hovyo hovyo, waweza kupoteza KULA man.
Hongera ya usukununu?Julius Mtatiro Hongera Sana
Powapoa mze baba!Mzee baba ! Pale ulipo piga nukta ingetosha.
Mkewe alimlazimisha kusilimu mkuuHata mimi hua najiuliza ila sipati jibu !
Nawewe ni kichaaTunaendelea kuthibitisha kauli zetu za awali.
Credibility ya Chadema inaelekea shimoni kwa spidi ya ajabu.
Agenda ni Chadema siyo barabara,umeme,maji wala huduma bora za afya. Wamewafanya watanzania wapumbavu sana.Mnaleta habari nusunusu au mimi nd'o sielewi? Matatizo ya Ukonga yanazungumziwa kwenye hizi kampeni au topic ni chadema tu? Maana ninavyoijua Ukonga ina matatizo mengi sana.
😂😂😂😂😂😂hebu fafanua zaidi mkuuHe he he he
Usiombe kukutana na mtu mzima ambaye anatumia tumbo kuongea....
Hapo ndio utamuelewa elimu yake kuwa ilibakia darasaniMkewe alimlazimisha kusilimu mkuu
Hongera ya usukununu?
Wakishahamia huko ccm wanaambiwa Chadema ni tishio sasa ili ujihakikishie kupata kajipost ni lazima uipige vita Chadema. Watahangaika sana.NAOMBA KUJUA, HIVI CHADEMA NDIYO IMESABABISHA MIKOA YA DODOMA, KANDA YA KKATI, MAGHARIBI NA KUSINI KUWA MASKINI MIAKA ZAIDI YA 50 YA UHURU. NDIYO IMEINGIA MIKATABA MIBOVU YA GAS NA MADINI? NDIYO ILINUNUA RADA MBOVU KWA MABILIONI YA PESA. MAANA KILA ANAYEHAMA UPINZANI LAWAMA ZAKE ZOTE KWA CHADEMA HATA AMBAO HAWAKUWA CHADEMA KAMA MTATIRO? AU NDIYO MASHARTI YAO YA KUPOKELEWA CCM
Kwa sasa kipau mbele cha magamba ni kuiongelea cdmMnaleta habari nusunusu au mimi nd'o sielewi? Matatizo ya Ukonga yanazungumziwa kwenye hizi kampeni au topic ni chadema tu? Maana ninavyoijua Ukonga ina matatizo mengi sana.
Na nyie mnaanza kumsifu siyo kumtukana tena.Chadema wanapata tabu sana! Mara hii sasa itabidi waanze kimtukana matatiro na si kumsifu tena! Dah
Mkuu Pohamba ogopa sana kitu tumbo maana halina shukrani wala subiraTuliandika humu humu JF Kuwa Prof Lipumba ndie alikuwa Mlezi wa Mtatiro ndani ya CUF Na bila ya usimamizi wa Prof Lipumba, Mtatiro haendani Na kasi ya Sultan Seif watu Na Hata yeye Mwenyewe ali bisha
I see kumbe ! Anyways ni personal matters tuyaache.Mkewe alimlazimisha kusilimu mkuu
Sasa sijui hawa wakurya musiba na waitara na mtatiro nani atapewa kwanza kateuziWakishahamia huko ccm wanaambiwa Chadema ni tishio sasa ili ujihakikishie kupata kajipost ni lazima uipige vita Chadema. Watahangaika sana.
Hakuna wakupata hapo washaonekana hawana akili majuha hawakawii kuja kuigeuka ccm huko mbeleni ni njaa ndo zinawafanya waropoke hovyo.Sasa sijui hawa wakurya musiba na waitara na mtatiro nani atapewa kwanza kateuzi