Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Tangu abadilishe MUONEKANO... Amekuwa Zoba.
Asipoitukana Chadema atapata vipi uteuzi? Watahangaika sana
Mkuu nimesema zaidi ya 6 million, Hivyo inaweza kuwa 7,8 au 10 ila Tume ndiyo iliamua kutoa idadi hiyo.Leo mmekubali kuwa zilikuwa 6,000,000???
Nimejibu kulingana na title ya Uzi.Mkuu, jitahidi kuwa objective, Mtatiro ahame CUF na kujiunga na CCM, hapo credibility ya Chadema inaingiaje hapo? Ningekuunga mkono kama ungemsifia Magufuli kwa kuwapelekesha wanasiasa uchwara wetu, sio kwa hiyo comment.
Vv
....na majuzi nimemwona usoni anang' aaAliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.
Mtatiro ambaye chama chake cha zamani cha CUF kilikuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya NLD, Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Septemba 13, 2018 katika mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Ukonga.
Katika mkutano huo, Mtatiro amesema ameshtuka na mchezo mchafu ulioko Chadema na kwamba wapo kimaslahi.
"Tupo hapa kumsapoti Mwita Waitara, ukiona kiongozi kama mimi niliyekaa miaka kumi na nimeachana na utapeli wewe kijana shtuka kapige kura kwa Waitara," amesema.
Mtariro ambaye alijiuzulu uanachama wa CUF Agosti 11, 2018 na kutangaza kujiunga na CCM amesema, “Kile chama ni chama cha wahuni ni chama kinachovuruga amani; wanashibisha matumbo yao."
View attachment 865544
Hakuna msomi mjinga. Naona Kiswahili kinakupa Shida.Tanzania ni moja ya nchi yenye wasomi wajinga sana, wasomi wa nchi hii hawana tofauti na wasio na elimu hata ya darasa la kwanza
Na mtu akihamia ccm tu uwezo wake wa kufikiri na kutenda hushuka sana
Elimu zao ni matope kbsTanzania ni moja ya nchi yenye wasomi wajinga sana, wasomi wa nchi hii hawana tofauti na wasio na elimu hata ya darasa la kwanza
Na mtu akihamia ccm tu uwezo wake wa kufikiri na kutenda hushuka sana
Wewe jiongopee Chadema ni msingi juu ya mwamba. Hautayumba hata siku moja.Tunaendelea kuthibitisha kauli zetu za awali.
Credibility ya Chadema inaelekea shimoni kwa spidi ya ajabu.
Macomrade kwa kawaida siyo wasaliti .... hastahili kuitwa Comrade.Pole Comrade Mtatiro, huko usipoongea japo hovyo hovyo, waweza kupoteza KULA man.
Mtatiro anataka kutuambia kuwa chadema ndio walikuwa wanaongoza nchi toka uhuru?Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema Chadema ni chama cha matapeli na ndiyo maana alihama upinzani.