Juliana Shonza: Hakuna chama chenye mafisadi kama CCM

Status
Not open for further replies.
Katibu mropokaji alikuwepo?aje kukanusha kuna watu wame hack mdomo wa Juliana
 
Wafanye kazi ya kuiimarisha CHADEMA,sisi wenye maono tunafahamu kazi wanayoifanya,wanafanya kazi nzuri hata usalama wa Taifa hawafui dafu..ccm itagundua while too late to catch the moving train. Juliana awe mwangalifu..ccm watasituka mapema. Naipongeza chadema, it's a good tactic and will come with beautiful results...JULIANA AND MWAMPAMBA...do the mission pse!...
 
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.

Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

NO MORE FREE PAY from LUMUMBA... PERIOD!!!
 
Soon CCM watamfukuza na kudai Juliana Shonza ametumwa na Lema kwa kuwa alikuwa hawara yake!!
 
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.

Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ha ha ha madame Benazir......!
 
Mkutano ulikuwa kaloleni mtaa wa kituo cha mabasi ya kampala coach!
Alipopanda jukwaani alianza kwa salamu za chama na kusema kuwa ndugu zangu hakuna chama Tanzania chenye mafisadi wengi kama ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ajabu! Au ndio mambo ya MUUMBA kutumia kinywa cha punda given the circumstances
 
Duuuuuuh! hiyo kali ila tambua malezi ya Dr kuyapoteza ni kazi sana....kama umeshawahi kukaa na Dr Slaa akakushauri unajikuta kuuvaa uzalendo kwa lazima!! mods naomba mchangie kwa makini maana mada zinazomhusu Juliana Shonza zinapigisha watu ban ile mbaya kutokana na hasira kwani huyu dada anakera saaanaaaaaa......
 
Wafanye kazi ya kuiimarisha CHADEMA,sisi wenye maono tunafahamu kazi wanayoifanya,wanafanya kazi nzuri hata usalama wa Taifa hawafui dafu..ccm itagundua while too late to catch the moving train. Juliana awe mwangalifu..ccm watasituka mapema. Naipongeza chadema, it's a good tactic and will come with beautiful results...JULIANA AND MWAMPAMBA...do the mission pse!...
hii niliisema awali kuwa CCM wanajidai wana TISS kubwa lakini CHADEMA ni kiboko yao. hamuoni kuwa tangu waingie CCM mambo mengi yao yako njenje na nguvu za CCM zinapungua siku hadi siku,ninyi subirini na mtaona matokeo mda si mrefu.
 
Siwezi kumlaumu maana hicho ndicho kilichoujazs moyo wake, ya mdomoni ni kwa sababu ya njaa tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom