Kunawatu wengine uongo ni jadi yao,na sijui mtu ananufaika na nini kwa huu uongo wanaoandika baadhi ya watu.
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.
Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Duh!
Huyo ni wakumuonea huruma. Usishangae kesho akiamka kucha na meno hana!!! Pia naamini leo vyumbani walipo fikia hapata tosha. Kesho asubuhi tuliopo Segera lazima tutamuona kwenye Dar Express.