Juliana Shonza: Hakuna chama chenye mafisadi kama CCM

Status
Not open for further replies.
Ukweli ni upi?

alisema chadema kuna ubabe, ukabila na udugu usiozingatia sifa...akasema hayo yote ni ufisadi.amesema slaa na mbowe wanagawana ruzuku za chama kama mali ya familia na huo nao ni ufisadi ila ukihoji unafukuzwa kwenye chama
 
anahitaji kujichunguza mwenyewe kwanza,mnafiki huyo kama alifaham hilo alienda kufanya nini huko?hana nafasi ya kurudi kundini huyo.
 
habariyamujini; Mchana ulisema upo Mbeya, saizi unadai ulikuwepo Arusha.Mimi naamini haukuwepo kati ya hizo sehemu mbili ila unafiki ndiyo unakutuma kukanusha hata usiyoyajua.Kwa namna tumjuavyo yule Dada yako angekuja haraka kukanusha. Anyway, CCM siyo chama kilichojaa mafisadi?
 
Last edited by a moderator:
Mods, nyinyi wenyewe mna shusha hadhi ya jukwaa!

Taarifa hii haina vielelezo vyovyote kuthibitisha kama ni ya kweli au uongo.

Lakini jambo la kustaajabisha ni pale mnapo futa taarifa zenye vielelezo na kuacha taarifa za udaku kutamba jamvini.

Hali hii mkiacha iendelee basi tutafikia hitimisho kusema kuna upendeleo wa kiitikadi, maana CCM tukisemwa vibaya hatua hazichukuliwi ukilinganisha na CHADEMA.

Mods, mimi nina amini JF ni jukwaa huru, lakini mapungufu haya yanafanya niwe na shaka katika kuamini uhuru wa jukwaa letu hili. Tafadhalini, wekeni usawa.

cc: Paw, Cookie, Buchanan, PainKiller
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom