Juliana Shonza: Hakuna chama chenye mafisadi kama CCM

Juliana Shonza: Hakuna chama chenye mafisadi kama CCM

Status
Not open for further replies.
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.

Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kamanda mungi bhassssssssi!mwisho wa ubaya aibu
 
Mkutano ulikuwa kaloleni mtaa wa kituo cha mabasi ya kampala coach!
Alipopanda jukwaani alianza kwa salamu za chama na kusema kuwa ndugu zangu hakuna chama Tanzania chenye mafisadi wengi kama ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

are you serious? au ndio propaganda?
 
Mkuu huu ni uongo totaly,hamna ukweli katika hili jamaa katudanganya nimiga simu arusha hiyo siyo kweli.
 
Wala usijute shonza,ukweli usipo usema hadharani huwezi kuwa na RAHA ya kweli,ebu test usingizi wa leo kwa hako kakipande ka ukweli uone usingizi ulivo mwororo!
 
Pembe la ng'ombe halifichiki. Kudanganya si kazi rahisi...Hata Lipumba anajua na ndio maana aliropoka msikitini juu ya hujuma za uchaguzi 2010.

Sikuwa mhudhuriaji mzuri kwenye jukwaa la siasa siku za karibuni, hivi Prof alisha kanusha ile video?!
 
Machadema kwa kudanganyana bana...shonza lazima aivue chadema nguo, ameipiga kwelikweli mana nilikuwepo kwenye mkutano
 
kimjazacho mtu moyoni ndicho kimtokacho.
 
Amesema chadema ina ukabila ukanda na ubabe,viongozi wake hawapendi kuambiwa ukweli wala kukosolewa...shonza ni mwiba mpya kwa chadema.
 
Mkuu huu ni uongo totaly,hamna ukweli katika hili jamaa katudanganya nimiga simu arusha hiyo siyo kweli.

We mbulula kweli Arusha umempigia nani simu.?

Kabla ya yote ulizia Juliana alishushwa jukwaani hakushushwa.

Na kama alishushwa kwa sababu zipi.?
 
wanawake wengi wenye ujauzito wa wiki mbili au tatu wanakuwa na tatizo hili la kuteleza ulimi kwa mijibu wa madaktari bingwa wa kinamama kwani tangu atoke mbeya na mwigulu wiki mbili bado?
 
Kunawatu wengine uongo ni jadi yao,na sijui mtu ananufaika na nini kwa huu uongo wanaoandika baadhi ya watu.

We si uuseme ukweli au unataka kuwalisha maneno watu? Kama Shonza mwenyewe ameshindwa kuja kukanusha leo wewe utaweza?
 
Mkutano ulikuwa kaloleni mtaa wa kituo cha mabasi ya kampala coach!
Alipopanda jukwaani alianza kwa salamu za chama na kusema kuwa ndugu zangu hakuna chama Tanzania chenye mafisadi wengi kama ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma - Mrisho Mpoto .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom