Juliana Shonza: Hakuna chama chenye mafisadi kama CCM

Status
Not open for further replies.
Kunawatu wengine uongo ni jadi yao,na sijui mtu ananufaika na nini kwa huu uongo wanaoandika baadhi ya watu.

Mkuu mbona nakuona wewe ndio unahangaika kujibu,aliyesema hayo si huwa anaingiaga huku aje mwenyewe akanushe.......
 
Maskini weee Laana imeanza kufanya kazi. Tusubiri tutaona mengi na hata kuweweseka kabla ya kupotea kwenye siasa ataweweseka
 
Itamtesa sana huyu binti mpaka aje kukaa sawa na kuuzoea uongongo, unajua sio rahisi kwa mtu kuongea na kukubali uongo wakati unajua ukweli USHAURI vijana munategemewa njaa ya siku moja haiuwi na njaa ya kweli haitok kwa mkate haramu toka CCM.
 
Ilikuwa arusha kata ya kaloleni uwanja wa kampala coach kachemka namnukuhu kidumu chama cha mapinduzi wenzie wakamwitikia kidumu akaendelea hakuna chama chenye mafisadi wengi kama chama cha mapinduzi !ghafla magamba wenzie wakamshusha jukwaani wabishe tumerekodi
 
Leo mkutano wa ccm kidogo uingie dosari baada ya Juliana Shonza kutamka jukwaani kuwa hakuna chama chenye mafisadi wengi kama ccm. Ilibidi ashushwe jukwaani haraka sana!
Inawezekana ulimi uliteleza au alikusudia.

Ukweli hukaa moyoni siku zote lakini lazima utaropoka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa moyoni. Maneno ya mdomoni (bila kushirikisha akili na moyo) yanajulikana. Na siku ya moyoni yakitoka yanajulikana pia!
 
Lazima aje humu kukanusha, asipokuja sisi matomaso tutajua kweli, na akikanusha tutaomba ushahidi kwa Mungi ili sisi matomaso tupate kuamini.
 
Ilikuwa arusha kata ya kaloleni uwanja wa kampala coach kachemka namnukuhu kidumu chama cha mapinduzi wenzie wakamwitikia kidumu akaendelea hakuna chama chenye mafisadi wengi kama chama cha mapinduzi !ghafla magamba wenzie wakamshusha jukwaani wabishe tumerekodi

hebu shusha mzigo maana hawa 7up hawaamini.
 
Ilikuwa arusha kata ya kaloleni uwanja wa kampala coach kachemka namnukuhu kidumu chama cha mapinduzi wenzie wakamwitikia kidumu akaendelea hakuna chama chenye mafisadi wengi kama chama cha mapinduzi !ghafla magamba wenzie wakamshusha jukwaani wabishe tumerekodi
mkuu hebu tuwekeeni hiyo clip
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom