Husband Jamani yuko busy anasaka noti wala hana Muda wakuhangaika na hawa watoa povu huku,and he is soproud of me Binti wa Shonza.
Pale atakapomuacha jamaa home azunguke nchi nzima kwenye kampeni za chama
Afadhali kapata mume sasa, alikuwa hatulii kama vile kachanganyikiwa!
Nimeamini kutokuwa na mwenzi waweza kuwa hata Chizi.
Huyo mwanaume wake mbona kama mdogo kwake, Juliana anaonekana mzee kwa huyo mchumba wake.
Hongera zako hata hivyo.
Hongera sana Jully Dada Yang.wasio kujua ndio wanaropoka hapa kufurahisha nafsi zao.Tunaokujua tunajua wewe ni mwanamke Wa aina gani.Kila la kheri mama
Hongera Juliana Shonza...kumbe ndo maana kelele zimepungua ee...Halafu mmmmh!!! mbona hujaniaga,? by the way tangu mwaka 2011 pale hall five...nimekumiss mwe.!! Nenda salama July jamaa namfahamu ni mpole sana..! Ngoja nikatoe umbea kwa Amin kwamba... July kimenuka 'siyo msela tena' hivyo tupite mbaliiiiii! au..................
Husband Jamani yuko busy anasaka noti wala hana Muda wakuhangaika na hawa watoa povu huku,and he is soproud of me Binti wa Shonza.
Mwanaume anayemuonea wivu mwanamke anayeolewa tumeweke kundi gani?
aisee.... jamaa gani huyu aliyeamua kujitolea??