Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Kuna mambo ya kuyaletea utani au siasa lakini si Rais wa Jamhuri. Rais anapokuwepo,upo utambulisho wetu kama nnichi, na kwa sisi wana-CCM, kielelezo cha juu kabisa cha kichama kwakuwa ndiye Mwenyekiti wetu wa Taifa wa chama. Rais si mtu/taasisi ya mchezo. Anapotua mahali,hupokelewa na wenyeji wa sehemu hiyo wakiongozwa na mkuu wa kiserikali wa sehemu husika. Hiyo ndiyo inayoonesha utofauti. Rais ni rais tu. Ni tofauti na wote.

Leo Dodoma, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amelakiwa,pamoja na watu wengine, na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Hawa vijana walitimuliwa uanachama CHADEMA na baadaye wakajiunga na CCM. Ndani ya chama hawana vyeo vyovyote. Ndani ya Serikali hawana wadhifa wowote. Iweje wao wamlaki Mh.Rais uwanja wa ndege Dodoma? Sioni kama walistahili kuwa hata sehemu ya watu wa kumlaki. Labda wangeenda 'kumvizia' Rais mahali ili wamsalimu.Si vile walivyofanya.

Naamini hivyo kiprotokali.


Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hakuna shida... Pengine hizo reject represent how low ccm has gone....
 
hao wamepanga mstari kusalimiana na rais kama wananch wengine walioenda kumlaki raisi,na kulikuwa na wananch wengi sana walioenda,acha unafiki wewe binti
 
FGC235XDW imethibitisha umepokea 7000 kutoka kwa nape nnauye

salio lako jipya ni shilingi 7000

mkuu
mbona wamesahau kukutumia yakutolea!!!
Ha ha ha ! Nimeipenda hii mkuu. Umeifuma kwenye simu ya jamaa nini? Inaonyesha salio lake lilikuwa linasoma zerozero baada ya kukomba zote saba jana.
Wana hali mbaya sana hawa jamaa, halafu tungeweza kumshauri mzee VUTA-NKUVUTE wawaongezee posho lakini ndio hivyo tena wanamtusi kada mwandamizi mwenye uwezo wa kufuta hizo ID za chama.
 
Last edited by a moderator:
BONGO kila kitu ujanja-ujanja na mkuu nae ndo mjanja mjanja usipime.... ANAPOKELEWA NA WAJANJA WAJANJA WENZAKE :angry::angry::angry:.
 
Wewe huna hoja kabisa maana hata we we unaweza kwenda kumpokea! Wewe ni kada wa chadema.
 
aaaa jaman hoja imeletwa hebu tujadili...hv mtaacha lin baadhi ya watu humu ndani kuonesha tabia za aina hiyo?
kwangu mie kiprotoko rais hulakiwa na waliopo kwenye protoko... sasa kama na hawa walikuwepo sijui kwa misingi ip. lakin hata mwanzo ujio wa rais dom mwez ulopita dada alikuwepo pia uwanjani...
 
Ha ha ha ! Nimeipenda hii mkuu. Umeifuma kwenye simu ya jamaa nini? Inaonyesha salio lake lilikuwa linasoma zerozero baada ya kukomba zote saba jana.
Wana hali mbaya sana hawa jamaa, halafu tungeweza kumshauri mzee VUTA-NKUVUTE wawaongezee posho lakini ndio hivyo tena wanamtusi kada mwandamizi mwenye uwezo wa kufuta hizo ID za chama.

hahaha,wanachezea ajira hawa,watu tunasota kutafuta kazi
 
Last edited by a moderator:
hii imekaa vibaya sana,ina maana hakuna m/kiti au katibu wa mkoa!
 
hao wamepanga mstari kusalimiana na rais kama wananch wengine walioenda kumlaki raisi,na kulikuwa na wananch wengi sana walioenda,acha unafiki wewe binti

mtela amefuata nini dodoma ? Biashara yake ya genge kamuachia nani ?
 
Ha ha ha ! Nimeipenda hii mkuu. Umeifuma kwenye simu ya jamaa nini? Inaonyesha salio lake lilikuwa linasoma zerozero baada ya kukomba zote saba jana.
Wana hali mbaya sana hawa jamaa, halafu tungeweza kumshauri mzee VUTA-NKUVUTE wawaongezee posho lakini ndio hivyo tena wanamtusi kada mwandamizi mwenye uwezo wa kufuta hizo ID za chama.

kumbe ID ya ifweero na MSALANI ni mali ya chama !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom