Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni

Mzee Tupatupa

Kama kuna kaukweli kamaneno haya.
 
Last edited by a moderator:
Rais anapokelewa na wananchi wote, haabudiwi wala haogopwi, anaheshimiwa...usitengeneze inferences za umangi mlionao huko chadema
 
Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni

Mzee Tupatupa

Weka Post moja tu niliyowahi kumtukana mtu hapa jamvini! Na Mods wachukue hatua ya kunifungia haraka!

Ameshindwa kuficha mahaba yake dhidi ya CHADEMA.
 
Angalia wewe Mzee Tupatupa watakutoa macho hao, hilo la kuzifungia ID za chama nimeipenda............
 
Kuna mambo ya kuyaletea utani au siasa lakini si Rais wa Jamhuri. Rais anapokuwepo,upo utambulisho wetu kama nchi, na kwa sisi wana-CCM, kielelezo cha juu kabisa cha kichama kwakuwa ndiye Mwenyekiti wetu wa Taifa wa chama. Rais si mtu/taasisi ya mchezo. Anapotua mahali,hupokelewa na wenyeji wa sehemu hiyo wakiongozwa na mkuu wa kiserikali wa sehemu husika. Hiyo ndiyo inayoonesha utofauti. Rais ni rais tu. Ni tofauti na wote.

Leo Dodoma, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amelakiwa,pamoja na watu wengine, na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Hawa vijana walitimuliwa uanachama CHADEMA na baadaye wakajiunga na CCM. Ndani ya chama hawana vyeo vyovyote. Ndani ya Serikali hawana wadhifa wowote. Iweje wao wamlaki Mh.Rais uwanja wa ndege Dodoma? Sioni kama walistahili kuwa hata sehemu ya watu wa kumlaki. Labda wangeenda 'kumvizia' Rais mahali ili wamsalimu.Si vile walivyofanya.

Naamini hivyo kiprotokali.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Wivu tu unakusumbua, huna lolote. Tangu mumeo amekuacha umebaki kutangatanga tu. ntamwambia mumeo akurejee angalau upate uhakika wa kula nyumbani uache uasherati wa mdomo
 
jamaa wa ajabu sana wewe, kimsingi hata wewe ukienda kujipanga utamlaki, hakuna kipingmiz,

ila mtera ajitahid akalime, anahangaika sana, atazalisha saa ngoi
 
Wivu tu unakusumbua, huna lolote. Tangu mumeo amekuacha umebaki kutangatanga tu. ntamwambia mumeo akurejee angalau upate uhakika wa kula nyumbani uache uasherati wa mdomo

Yaani nawe kwa uandishi wa kilevi hivi unajisifu kuwa nawe ni kada wa CCM? Hata hufai.Unadhalilisha chama chetu. Watu wa aina yako ndio wanaoporomosha na kuteteresha hadhi ya CCM.

Una matatizo ya akili
 
Leo mazwazwa wasumbufu wanashushuliwa na mkuu wao ndo ubaya wa kutumia id fake..
 
VUTA-NKUVUTE wewe ni mnafiki sana, katika vitu unavyonikera ni hii style yako ya kujifanya mwana-CCM.

Kwa hiyo wewe kwa akili yako unaona ni sawa Juliana na Mtela kumpokea Rais!! Alichosema Vuta-Nkuvute ni ukweli ambao unatakiwa kusemwa na hata wana CCM kama wewe na yeye.
Huu ndo unafiki unaotuangamiza Watanzania. Kama kitu ni kibaya kimetendeka hata kama kimefanywa na viongozi wako wa CCM kuwa akili ya kusema hapana kiti hakifai. Jaribu kuwa na Uhuru na kujitambua.
 
Wivu tu unakusumbua, huna lolote. Tangu mumeo amekuacha umebaki kutangatanga tu. ntamwambia mumeo akurejee angalau upate uhakika wa kula nyumbani uache uasherati wa mdomo

FGC235XDW imethibitisha umepokea 7000 kutoka kwa nape nnauye

salio lako jipya ni shilingi 7000

mkuu
mbona wamesahau kukutumia yakutolea!!!
 
Weka Post moja tu niliyowahi kumtukana mtu hapa jamvini! Na Mods wachukue hatua ya kunifungia haraka!

Ameshindwa kuficha mahaba yake dhidi ya CHADEMA.

kwahiyo kumbe hizo ID mnazotumia mmefunguliwa na chama ? What a shame ! Kumbe kelele zote hizo hata Id huru hamna ? Aibu sana !
 
Back
Top Bottom