ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,873
VUTA NIKUVUTE ni mganga njaa .
Na wewe ni mganga Shibe.
VUTA NIKUVUTE ni mganga njaa .
VUTA-NKUVUTE kamwaga mchele hadharani baada ya yeye kusema ukweli ya kile kilichomkera na wao kama kawaida wakaanza kumtukana na kumkejeli eti yeye ofisi yake iko Ufipa na si Lumumba.kumbe ID ya ifweero na MSALANI ni mali ya chama !
VUTA-NKUVUTE wewe ni mnafiki sana, katika vitu unavyonikera ni hii style yako ya kujifanya mwana-CCM.
VUTA-NKUVUTE kamwaga mchele hadharani baada ya yeye kusema ukweli ya kile kilichomkera na wao kama kawaida wakaanza kumtukana na kumkejeli eti yeye ofisi yake iko Ufipa na si Lumumba.
Mzee Tupatupa leo kachukia sana sijui kama kesho Petty cash voucher za Buku saba saba kama zitasainiwa. Kafikia kuwatishia kuwanyanganya Tablets zao, kumbe nazo ni za chama? Sikujua hilo!
VUTA-NKUVUTE wewe ni mnafiki sana, katika vitu unavyonikera ni hii style yako ya kujifanya mwana-CCM.
VUTA NIKUVUTE ni mganga njaa .
Ka juliana kako bomba..
heshima yako mzee,hii post yako ni zaidi ya habari ,nashangaa jinsi walivyo nuruni kwako na ulivyo gizani kwao.kazi njemaDawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni
Mzee Tupatupa
kwa jinsia yako hautafitiniwa ,kwa hiyo usiogopeKa juliana kako bomba..
Kuna mambo ya kuyaletea utani au siasa lakini si Rais wa Jamhuri. Rais anapokuwepo,upo utambulisho wetu kama nchi, na kwa sisi wana-CCM, kielelezo cha juu kabisa cha kichama kwakuwa ndiye Mwenyekiti wetu wa Taifa wa chama. Rais si mtu/taasisi ya mchezo. Anapotua mahali,hupokelewa na wenyeji wa sehemu hiyo wakiongozwa na mkuu wa kiserikali wa sehemu husika. Hiyo ndiyo inayoonesha utofauti. Rais ni rais tu. Ni tofauti na wote.
Leo Dodoma, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amelakiwa,pamoja na watu wengine, na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Hawa vijana walitimuliwa uanachama CHADEMA na baadaye wakajiunga na CCM. Ndani ya chama hawana vyeo vyovyote. Ndani ya Serikali hawana wadhifa wowote. Iweje wao wamlaki Mh.Rais uwanja wa ndege Dodoma? Sioni kama walistahili kuwa hata sehemu ya watu wa kumlaki. Labda wangeenda 'kumvizia' Rais mahali ili wamsalimu.Si vile walivyofanya.
Naamini hivyo kiprotokali.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
matusi na kejeli ndo kawaida yako!Weka Post moja tu niliyowahi kumtukana mtu hapa jamvini! Na Mods wachukue hatua ya kunifungia haraka!
Ameshindwa kuficha mahaba yake dhidi ya CHADEMA.
haa haa...duh.Yaani nawe kwa uandishi wa kilevi hivi unajisifu kuwa nawe ni kada wa CCM? Hata hufai.Unadhalilisha chama chetu. Watu wa aina yako ndio wanaoporomosha na kuteteresha hadhi ya CCM.
Mzee Tupatupa
haa haa huwezi jua mkuu, pengine mambo tiari! Haa haa..Namuona Juliana anamrembulia JK macho....sijui ili iweje vile
Umenikuta na utaniacha ndani ya CCM
Mzee Tupatupa
haa haa huwezi jua mkuu, pengine mambo tiari! Haa haa..
Lakini ni kafupi mno.