Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Juliana na Mtela ni mke na mme kiasi cha kufuatana katika matukio kwa ajili ya kuchukua picha nauliza tu; wan vyeo vya kupokea probably maofisa mapokezi hahaha
 
Hao ni vijana waliotumwa CDM kwa kazi maalumu ya kuivuruga!Hapo ni kama wameenda kumpokea muajiri wao!
 
Rais amekusikiliza Mkuu sana VUTA-NKUVUTE. Ameanza kuwatimua makada wa CCM wanaomfuatafuata kila aendako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom