Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Juliana na Mtela kumlaki Rais ni sawa ?

Wewe ni muhuni tu.

Huna hadhi ya kuwa mwanachama wa CCM, wala huna nia njema na CCM.

Tuachie CCM yetu, wewe endelea kuwapigia debe CHADEMA.

Maigizo umejifunza Kaole au? Yaani wewe ni kada kuliko mimi? Maajabu hayaishi.Hlafu wewe MSALANI uliniponza nikafungiwa miezi minne.Sitaki mabishano nawe.Karibu Dar es Salaam

Mzee Tupatupa

 
Last edited by a moderator:
Maigizo umejifunza Kaole au? Yaani wewe ni kada kuliko mimi? Maajabu hayaishi.Hlafu wewe MSALANI uliniponza nikafungiwa miezi minne.Sitaki mabishano nawe.Karibu Dar es Salaam

Mzee Tupatupa


Hawakupendi kwa kuwa mkweli. Pole kwa kifungo lakini hao ni wakupuuza tu.
 
Last edited by a moderator:
wana ccm wote wangekuwa kama mzee tupatupa @VUTA-NIKUVUTE chadema ingekuwa na wakati mgumu sana
 
Wewe ni muhuni tu.

Huna hadhi ya kuwa mwanachama wa CCM, wala huna nia njema na CCM.

Tuachie CCM yetu, wewe endelea kuwapigia debe CHADEMA.

Pambana kijana,ukishindwa katika hii thread,tunakupa ban ya kutokukanyaga Lumumba hadi 2015.
 
Ukabila kitu kibaya sana,CDM imepoteza MAJEMBE mengi sana,cha ajabu WASALITI wote sio WACHAGA,ni MAKABILA men fine tu !!!
 
Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni

Mzee Tupatupa
Elli mpwa wangu njoo huku kuna kuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo ya kuyaletea utani au siasa lakini si Rais wa Jamhuri. Rais anapokuwepo,upo utambulisho wetu kama nchi, na kwa sisi wana-CCM, kielelezo cha juu kabisa cha kichama kwakuwa ndiye Mwenyekiti wetu wa Taifa wa chama. Rais si mtu/taasisi ya mchezo. Anapotua mahali,hupokelewa na wenyeji wa sehemu hiyo wakiongozwa na mkuu wa kiserikali wa sehemu husika. Hiyo ndiyo inayoonesha utofauti. Rais ni rais tu. Ni tofauti na wote.

Leo Dodoma, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amelakiwa,pamoja na watu wengine, na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Hawa vijana walitimuliwa uanachama CHADEMA na baadaye wakajiunga na CCM. Ndani ya chama hawana vyeo vyovyote. Ndani ya Serikali hawana wadhifa wowote. Iweje wao wamlaki Mh.Rais uwanja wa ndege Dodoma? Sioni kama walistahili kuwa hata sehemu ya watu wa kumlaki. Labda wangeenda 'kumvizia' Rais mahali ili wamsalimu.Si vile walivyofanya.

Naamini hivyo kiprotokali.


Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Hao uliowataja ni watanzania wa kawaida hakuna ubaya wowote kumlaki raisi wao; sema jingine mganga njaa wewe!!
 
Back
Top Bottom