Jukwaa zuri hili..!

Jukwaa zuri hili..!

Nimekuwa nikisoma topic za watu hapa nikiwa kama guest kwa muda kidogo. Nafurahi nami leo kupata fursa ya kutoa ombi langu la kupata mchumba au mwenzi. Mimi ni mwanamke wa makamo(miaka 42). Naongea Kiswahili na Kiingereza. Nipo tayari kuanza uhusiano na mwanaume mwenye uhitaji wa mwenzi aliye makini na anayempenda Mungu. Jitokeze uniPM tuongee zaidi japo wafuatao wasijisumbue:
-wale wanaohitaji kuzaa watoto
-wale wanaohitaji ngono tu au nyumba ndogo.
-wale wenye papara na haraka
-wasiojiheshimu
-wasio na shughuli imara za kiuchumi.
-wenye elimu pungufu ya shahada ya chuo kikuu
-wenye mke/wake

Mambo mengine naamini yanaongeleka.

Sina mzaha,maswali yatajibiwa yote ilimradi yasiwe ya kejeli.
Mbona kuna utata?
Umesema huhitaji mwenye kutaka ngono na mwenye kutaka kuzaa watoto...sasa unahitaji wa kufanya nini?
Pia ungeweka hitaji la umri na kimo maana sisi wengine bado tupo kwenye 20s, tuna shahada na ni warefu ila tuna mapenzi ya kweli unahitaji?
Vipi na kuchek afya?
Naomba majibu tafadhali! or nichek PM
 
Uandishi wako umenikuna,inaonyesha kichwa yako imetulia sana mama,japo najiuliza why utafute mchumba mtandaoni. Nionavyo mimi hapa wamejaa jokers,ni very rare kukutana na na real person kwenye platform kama hii. Nakutakia Kila Raheli.
 
Asante mzee wa Nguna.
Mimi ninachoamini mchumba au mwenza huweza kupatikana popote tu. Ni kweli JF pana watu wa kila namna. Wapo pia wanaume wenye hitaji kama langu. Cha msingi ni kwamba patakuwa na muda wa kutosha wa kufahamiana.
 
niko 55 unaonaje juu ya hapo, urefu 174cm , at 42 unene wako ukoje
 
niko 55 unaonaje juu ya hapo, urefu 174cm , at 42 unene wako ukoje

Umbo langu ni la kawaida kabisa,sio mnene wala sio mwembamba. Pia nina urefu wa wastani tu. Details zingine nitumie ujumbe kama PM.

Age sio kigezo kikubwa,itategemea na mtazamo wa mtu mwenyewe. Japokuwa tofauti ya miaka ikiwa kubwa sana nadhani malengo yanaweza kutofautiana.
 
nimekuwa nikisoma topic za watu hapa nikiwa kama guest kwa muda kidogo. Nafurahi nami leo kupata fursa ya kutoa ombi langu la kupata mchumba au mwenzi. Mimi ni mwanamke wa makamo(miaka 42). Naongea kiswahili na kiingereza. Nipo tayari kuanza uhusiano na mwanaume mwenye uhitaji wa mwenzi aliye makini na anayempenda mungu. Jitokeze unipm tuongee zaidi japo wafuatao wasijisumbue:
-wale wanaohitaji kuzaa watoto
-wale wanaohitaji ngono tu au nyumba ndogo.
-wale wenye papara na haraka
-wasiojiheshimu
-wasio na shughuli imara za kiuchumi.
-wenye elimu pungufu ya shahada ya chuo kikuu
-wenye mke/wake

mambo mengine naamini yanaongeleka.

Sina mzaha,maswali yatajibiwa yote ilimradi yasiwe ya kejeli.
naona katika reply zako nyingi unasisitiza malengo kwani wewe una malengo gani? Njoo kwangu basi kwa kampani tu!
 
Nimekuwa nikisoma topic za watu hapa nikiwa kama guest kwa muda kidogo. Nafurahi nami leo kupata fursa ya kutoa ombi langu la kupata mchumba au mwenzi. Mimi ni mwanamke wa makamo(miaka 42). Naongea Kiswahili na Kiingereza. Nipo tayari kuanza uhusiano na mwanaume mwenye uhitaji wa mwenzi aliye makini na anayempenda Mungu. Jitokeze uniPM tuongee zaidi japo wafuatao wasijisumbue:

-wale wanaohitaji ngono tu au nyumba ndogo.

-wenye mke/wake

Sina mzaha,maswali yatajibiwa yote ilimradi yasiwe ya kejeli.
Asprin HUNA NAFASI TENA HAPO...
 
naona katika reply zako nyingi unasisitiza malengo kwani wewe una malengo gani? Njoo kwangu basi kwa kampani tu!

Hakuna uhusiano usiokuwa na malengo mkuu.
Lengo langu nahitaji mwenza/partner kwa kiingereza.
Itapendeza akiwa mtu huru kijamii na kifikra.
 
daaa am stable lakini kigezo cha elimu daa umenichosha
 
Nahisi suala la elimu litawakosesha wanawake wengi wanaume am sorry
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom