Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 222
- 99
Hujatufafanulia uzuri wa jukwaa unaousifia
Nahisi suala la elimu litawakosesha wanawake wengi wanaume am sorry
Kwangu mimi kimo sio kigezo kikubwa,na kupima Afya ni kati ya yale niliyosema yanaongeleka.
Kuna mtu atawasiliana na mimi kwa makusudi ya tamaa zake za ngono pekee,huyo ndo nimesema asijisumbue,maana mimi nahitaji mwenza. Key word kwenye hiyo sentensi ni 'tu'
Wewe mwenye 20s pia sidhani kama malengo yetu yataendana.
Nimekuwa
nikisoma
topic za watu hapa nikiwa kama guest kwa muda kidogo. Nafurahi nami leo
kupata fursa ya kutoa ombi langu la kupata mchumba au mwenzi. Mimi ni
mwanamke wa makamo(miaka 42). Naongea Kiswahili na Kiingereza. Nipo
tayari kuanza uhusiano na mwanaume mwenye uhitaji wa mwenzi aliye makini
na anayempenda Mungu. Jitokeze uniPM tuongee zaidi japo wafuatao
wasijisumbue:
-wale wanaohitaji kuzaa watoto
-wale wanaohitaji ngono tu au nyumba ndogo.
-wale wenye papara na haraka
-wasiojiheshimu
-wasio na shughuli imara za kiuchumi.
-wenye elimu pungufu ya shahada ya chuo kikuu
-wenye mke/wake
Mambo mengine naamini yanaongeleka.
Sina mzaha,maswali yatajibiwa yote ilimradi yasiwe ya kejeli.
42? Too old!
Nimekuwa nikisoma topic za watu hapa nikiwa kama guest kwa muda kidogo. Nafurahi nami leo kupata fursa ya kutoa ombi langu la kupata mchumba au mwenzi. Mimi ni mwanamke wa makamo(miaka 42). Naongea Kiswahili na Kiingereza. Nipo tayari kuanza uhusiano na mwanaume mwenye uhitaji wa mwenzi aliye makini na anayempenda Mungu. Jitokeze uniPM tuongee zaidi japo wafuatao wasijisumbue:
-wale wanaohitaji kuzaa watoto
-wale wanaohitaji ngono tu au nyumba ndogo.
-wale wenye papara na haraka
-wasiojiheshimu
-wasio na shughuli imara za kiuchumi.
-wenye elimu pungufu ya shahada ya chuo kikuu
-wenye mke/wake
Mambo mengine naamini yanaongeleka.
Sina mzaha,maswali yatajibiwa yote ilimradi yasiwe ya kejeli.
Umbo langu ni la kawaida kabisa,sio mnene wala sio mwembamba. Pia nina urefu wa wastani tu. Details zingine nitumie ujumbe kama PM.
Age sio kigezo kikubwa,itategemea na mtazamo wa mtu mwenyewe. Japokuwa tofauti ya miaka ikiwa kubwa sana nadhani malengo yanaweza kutofautiana.
Anne Kilango na Anna Abdallah wameolewa wakiwa na umri gani? Na usisahau Philip Mangula mwaka jana naye kajibebea mzigo.
Cha msingi kwanza ni current status yake ikoje? Na akumbuke tu Bakhresa kaishia elimu ya msingi tu.
42? Too old!
una miaka 42?kwanza nikuamkie SHKAMOO MAMA MDOGO SOFI! mi nauliza tu,ni kweli ulipokuwa mdogo unakuwa mipango yako ilikuwa hadi ukifika 42 ndio utafute mtu au hesabu ndio zimekataa mpaka muda huu?kama hesabu zimekataa sababu nilizoziona toka ktk maelezo yako ni hizi -wasio na shughuli imara za kiuchumi. -wenye elimu pungufu ya shahada ya chuo kikuu nakushauri tu,ungekuwa twenties nadhani ingekuwa sawa kuwa mchaguzi lakini 42 sio tu jioni ni usiku tayari mamaangu mpendwa,hivyo kwa faida yako legeza masharti ikiwezekana angalia kigezo kimoja tu cha imani mengineyo liwalo na liwe,ukiendelea na msimamo wako wa uchaguzi utarudi tena hapa ukiwa na miaka 62 bado unatafuta mchumba.kila la heri

Mwanamke mwenye vigezo kama hv asijisumbue kutafuta mchumba maana atapata wa kumgegeda tu!
kuna tatizo gani kwa mwenye elimu chini ya shahada? please explain.
Mmh kwa hivi vigezo daSophy sijui kama utampata!coz wenye sifa hizo wa
rika lako n above wameshawahiwa,,nikimaanisha wanafamilia..anywayz
nisikukatishe tamaa dada yangu kuna wajane na watalaka!kila la kheri
Ana masharti mengi mno ndo maana mpaka sasa hakijaeleweka