Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Kwa vigezo vyako, utawapata wagane, waliotalikiwa, wenye masherti kama yako, wenye watoto, wenye umri above 45 years....etc ectUpo sahihi mkuu. Wenye familia i.e. Mke au partiner wa kudumu siwahitaji(ni moja ya vigezo).Sitakata tamaa na tutakayeendana naamini hatojuta kamwe