- Thread starter
- #81
Mmh hapa hapawezekani, huwezi kumpata huyo unayemtaka, labda upunguze sifa/vigezo ulivyovitaja
Naamini wapo. Atapatikana hapahapa.
Mmh hapa hapawezekani, huwezi kumpata huyo unayemtaka, labda upunguze sifa/vigezo ulivyovitaja
Its sad kuona at 42 uko lonely. Ila maisha huwa yanatafautiana. Kweli life inaanza at 40. Wale wote wenye pesa za ukweli wako 40s and above. Na hao ndio wanamake decision na wanarun the economy. Mfano: mengi. Sasa mengi akisema anataka mdada watajaa pm ama sio?
Mwanaume aliyesoma na mwenye kipato hata sumbua atakuwa mwelewa na kujiheshimu. Huyu anataka mtu wa kumliwaza, kucheka, kufurahi, utani kama vile alivyokuwa 26. Tumeelewana. Unavigezo tuma pm.
Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
She z lying
I doubt if she even real a woman
we better b serious guys otherwise hili jukwaa halitakua na maana
Uko sahihi kabisa, hili jukwaa limeshapoteza mwelekeo ndio maana inakuwa ngumu hata kutoa ushauri hapa kama ilivyokuwa zamani.
Aliyeleta mada ni just a joker in my point of view.
She z lying
I doubt if she even real a woman
we better b serious guys otherwise hili jukwaa halitakua na maana
Duuuuu! pole mke wangu mtarajiwa maana naona sifa zote hapo juu ninazo!
vp umewahi olewa?
Maana hata mimi pia ninavyo vigezo/sifa za mtu ninaye mtaka. ingia PM tulonge vizuri. Maana kuna kidada kananisumbua nikateme kabisa! Watu wazima mara nyingi huwa mmetulia. SIJUI WEWE!
Bado? Kama bado hebu niPM kwa ushauri zaidi