Wakataaa ndoa .. Wazee wa vichelema🤣Siku hizi vijana wanawahi sana kujichagulia amani ya moyo, hata kabla ujana wao hujawaisha mkuu.
Maisha yashabadirika siku hizi; undava undava wa kujaribu kila kitu ulikuwa enzi zenu! Hakuna kijana anazamia meli siku hizi.
Kuna buttons ngumu kubonyeza ili mtu ahame kituo.Lawama zote kwenye "click sounds"!Ujana ni kujaribu kila kitu, lakini utu uzima ni kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija. Nani ameshafika level hii?"
Doooh nipo Matarawe hapa 🤣Nimeshavuka hiyo Stage.
Pandisha Msamalq basi. 😂😂😂Doooh nipo Matarawe hapa 🤣
Nimeshavuka Wallah.Bado sana mjukuu...nasema bado saaanaaa
Mkuu hii hoja bado haijablansiUjana ni kujaribu kila kitu, lakini utu uzima ni kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija. Nani ameshafika level hii?"
Naunganisha mpaka NamanditiPandisha Msamalq basi. 😂😂😂
Sasa hapo unateremka M, sio unapandisha.Naunganisha mpaka Namanditi
Nimekupenda sanaHahaha😂
Amina...Jitahidi visiachane sana
Wallah vile.Sidhani😂
Hivi lile somo letu la lingala iliishia wapi😆
Hurry up 😊Nilikwambia naandaa somo; likiwa tayari nitakwambia. 😊
Hurry up 😊