HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 1,118
- 1,994
Mimi Bado Naendelea Kugawa Vikombe Tu Kwa Wapuuzi...
###BoraWaliNyamaVitani###
Mimi ni mtu nisiyeweza kufata mkumbo.Uliwezaje sasa?
Nadhani nazeeka sasa ...Ujana ni kujaribu kila kitu, lakini utu uzima ni kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija. Nani ameshafika level hii?"
Umechagua fungu lililo jema sana ila kwa uzee wewe bado sanaNadhani nazeeka sasa ...
1. Ninashinda sanaa ndani kuliko kawaida
2. Nasali sanaa kuliko hapo nyuma, sasa hivi hata usiku naamka na kufanya ibada ya angalau nusu saa.
3. Nakunywa sanaa maji kuliko kinywaji chochoteee
4. Nazingatia sanaa mazoezi
5. Bahili sanaa wa hela zangu, kila hela lazima kiwango fulani kiende saving.
6. Nina mwezi sijanywa soda au kinywaji chochoteee cha sukari, labda chai
7. Nina wiki mbili sijanywa pombe aina yoyoteee
Nadhani sasa nazeeka.
Miaka 36, sijui ndio uzee umekaribia au kuna jambo limenipata...!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unapatikana wapi babu yangu mzuriiii nije kukutoa njee uote jua😍Siku hizi vijana wanawahi sana kujichagulia amani ya moyo, hata kabla ujana wao hujawaisha mkuu.
Maisha yashabadirika siku hizi; undava undava wa kujaribu kila kitu ulikuwa enzi zenu! Hakuna kijana anazamia meli siku hizi.
Nilikua nasubiri huu ushauriDawa ya moto ni faya
Unapatikana wapi babu yangu mzuriiii nije kukutoa njee uote jua😍
Baasiii kwishaaa🙅♂️Njoo Sinza kwa Remmy. 😊
Kuhusu ubabu; mie sio mbabu.
Sasa hivi unaweza kurusha ngumi kumbe mtu alikufa zamani, alisubiri ngumi yako tu, ukapewa murder case na kukaa behind bars miaka ya kutosha. Ni heri kuonekana huna nguvu, sio mjanja, hujui vurugu nk.
Baasiii kwishaaa🙅♂️
Vp lakini kinshasa hawajambo kijana wa makamo
Hivi lile somo letu la lingala iliishia wapi😆Kinshasa, bazali mpenza. Wapo wazima wa afya. 😊