Jukwaa La Mapishi, Food Corner

Nashuru,
Kesho jumapili nafanya hili zoezi, ntakuja na feedback

Karibu. Unaweza kuvunja spaghetti mara tatu ili uzikaange kidogo. Zinakuwa na taste, muonekano na harufu ya tofauti. Hapo utaongezea tu maji ya moto na kuchuja kama kawaida zikiishaiva. Baada ya kuchuja, immediately weka butter, margarine ama mafuta kidogo kama hutatumia cheese.
 
Jamani kama kuna mjuzi anajua kupika tambi zika haikatiki katiki na kuwa kama wali uliogandamana anipe maujuzi jinsi ya kuziandaa vyema
Nipo bachela mara nyingi weekend napenda kujipikia lakini nakwama,anapika yanagandamana
katakata spagghet kama mara 3/4,kisha chemsha mafuta mpaka yaive weka spagghet ndan ya mafuta geuza geuza mpak zibadilike rangi kidogo. weka maj yanayolingana na hzo tambi.weka chumvi/sukari kisha funika mpk maji yaishilie epua na palia km wali
 
Ni njia nzuri ya kutayarisha spagghet, lakini nililotaka kusema hasa ni kuwa nilikumiss sana.
 
NIMEFURAHIJEE!ahsante x plasters!ntaanza kupita humu kila jioni kabla ya kurudi home ili nijifunze kitu kipya lakini pia nitakuwa natuma recipe zangu tufanye sharing !
 
mkuu mimi sijaelewa kuhusu vyakula vilivyo okwa,kwa OVEN madhara yake yako vipi?
kwani oven ina tatizo gani?maana kuna samaki wanaokwa kwa oven alafu wanapikwa kabisa mboga hapo vipi?
tafadhari majibu mkuu
 
Back
Top Bottom